mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,833
- 106,019
Uzi wa kipuuzSalaam ndugu wana jukwaa.
siku ya jumapili tr 25.10.2015 ni siku ya kihistoria katika nchi yetu ambapo Nchi itaingia kwenye tukio kubwa na kipekee la kidemokrasia kuchagua utawala mpya utaounda serikali ya awamu ya tano.
NDUGU MTANZANIA. USIFANYE MAKOSA. TAFAKARI KWA MAKINI DAKIKA HIZI ZILIZOBAKI. NAOMBA KURA YAKO YA NDIO KWA JOHN JOSEPH MAGUFULI aka JEMBE aka TINGA TINGA. ILI AWEZE KULIONGOZA TAIFA LETU.
HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!