Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Wale missiontown anzeni kutafuta fursa mpya maana 'kupiga deal' kumefikia tamati. Watumishi wa umma badilikeni 'business as usual' ndio bye bye. Wafanyabiashara jiandaeni kulipakodi kwa mujibu wa sheria 'mambo ya hongo' kwishney. Na kwa wachapazi hii ni fursa ya kula 'matunda mema' ya jasho lao. Ahsante na j'pili njema!

Wewe si ulikuwa Team Edo au umeshabadilika?
 
Mzee Chache muda huu anajinyea. Halipi kodi tapeli mkubwa.
Nimendharau sana kumuunga mkono fisadi. Vitalu vya gesi atavisikia kwenye radio yake.
 
Kama ni Magufuli, RAIS atatoka CCM. La sivyo, kiti kingeenda UKAWA. UKAWA sasa kazi wanayo. akini, nyumba ni moja, fito nyingi.

Hongera Magufuli, wewe ni RAIS.
 
Sio kwamba ni udini, ni mujibu wa taratibu za CCM, rais bara, makamu zenji, rais zenji, makamu bara.Uwe muelewa
 
Jk hanaimani na makufuli.kajikutatu amejikwaa kwa asiyemtarajia.sasa imekula kwa ccm maisha
 
Nilikuwa sina imani kabisa ya kupigia kura hasa yule MANVI sasa uraisi ntampigia JEMBE, BULDOZER Dr Pombe. Nina imani nae.
 
Jk hanaimani na makufuli.kajikutatu amejikwaa kwa asiyemtarajia.sasa imekula kwa ccm maisha

Nakubaliana nawewe kua Kikwete akumtarajia Magufuli hesabu zake ni Membe au Migiro isipokua vita vya panzi kati ya kambi za Membe na Lowassa zimemtemea Magufuli tonge miguuni.

Lakini kati ya wote walioingia tano bora UKAWA wangepata nafuu sana kama CCM wakechagua mtu tofauti ya Magufuli lkn kwa kumchagua huyo UKAWA wana mlima mrefu sana kuukwea, naamini atapata kura nyingi sana za watu tusiofungamana na ushabiki wa vyama bali utendaji wa mtu. Nchi yetu ilipofikia inahitaji mtu mwenye maamuzi ya kibinafsi zaidi kuliko kutaka kuridhisha kila upande na hilo Magufuli analiweza kizuri zaidi amepata nafasi kwa bahati mbaya hana kundi nyuma yake linalomdai fadhila kwa hiyo ana uwanja mpana wa kupanga safu yake bila kuingiliwa na watu ambao wangejisibu kuwa walimbeba, fursa kama hii aliipata Mkapa sababu aliingizwa na Nyerere tu akawa huru kuunda serikali lakini Kikwete aliikosa sababu serikali yake alilazimika kuwaweka wanamtandao waliomfikisha kwenye kiti. Tuombe uzima tuone.
 
Umofia kwenu wana JF,

Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?

Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.

Upende usipende Lake Zone ndani ya MAGOGONI na sio MANVI wako tangulia kujiua ufe haraka kabla ya Boss wako hajafa maana afya yenyewe mbofumbofu
 
Back
Top Bottom