Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

Huyu mtu sijui karogwa au sijui vipi.....

Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?

Hili ndio tatizo la kupewa Udokta kwenye meza badala ya kuiandikia mtihani. wenzetu wanachagua viongozi sisi tunachagua majuha, matokeo yake sote tunaonekana majuha
 
bwahahaha kuna ka ring tone ka kauli yake ile.....

Lol, watu wana moyo sana,kweli wanaweza kuweka ringtone ya ile kauli? Ila kwa upande mwingine ingeweza chochea mapinduzi...!
 
Mkuu tafadhali, watu hatujawahi pigwa ban, naomba usitutafutie. This is the matter of National Disintegration halafu wewe unaleta uboflo wako hapa. You are type of peoples who makes this place sometimes to be bored. Wish would attach virus in your all personal data so that uishie kuusikia huu mtandao kwa bomba.
 
Mkuu tafadhali, watu hatujawahi pigwa ban, naomba usitutafutie. This is the matter of National Disintegration halafu wewe unaleta uboflo wako hapa. You are type of peoples who makes this place sometimes to be bored. Wish would attach virus in your all personal data so that uishie kuusikia huu mtandao kwa bomba.

watu wa namna hiyo hakuna haja ya kuwajibu. You better keep silence. Haziwatoshi.
 
unaonekana una njaa au usingizi mana mtu mwenye akili yake timamu hawezi kuandika utumbo kama huu mbele za watu
Lol, thats funny too....I respect your opinion, and your right to believe what you want!
 
hili ndio tatizo la kupewa udokta kwenye meza badala ya kuiandikia mtihani. Wenzetu wanachagua viongozi sisi tunachagua majuha, matokeo yake sote tunaonekana majuha


our president is handsome- sisi tunachagua sura!!!!
 
Yan nawashangaa mnavyopoteza muda kumjadili Mshkaji....made in Bagamoyo not Born in Bagamoyo
Hahahahaaaaaa hata sijui huwa anawaza nini kichwani mwake.
Job true true
 
Rais anayesema ukitataka kula lazima uliwe muogope sana,manake hata tukitaka ajira lazima.......!!

Haahaaa! Ndo maana watu wanaogopa kutafuta kazi...ni kuunganisha madegree yapangane mpaka hiki kimbunga cha upepo wa kisulisuli kipite
 
nina mashaka hata na elimu yake pale UDSM ..angekuwa ni she .. ningesha "conclude"
 
...aiseee huyu jamaa imagine ni baba yako walahi tena namkana.....

Mwenzio hajamkana, unaona alivyojawa na mbumba! kwenye fobes list ya bongo kama hajaingia basi soon atakuwemo tu.
Don't mind how much someone is stupid, but see how much you can make from his stupidity!
 
Back
Top Bottom