Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

Sofia Simba- ''Wanawake Wanyimeni Waume zenu! ''...... ......'' Wakiwapigiakura Wapinzani''
 
Wassira -'' Mnaulizia mvua kwani nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua ''
 
Mwantumu Mahiza - ''Waliomaliza vyuo na kukosa ajira waanzishe miradi ya kufuga kuku inalipa sana''.
 
Mkulo -- ''Kila mwananchi atabeba Msalaba Wake... Serikali haimo''
 
Jk-- ''Huyu naona ajali kitu tumuache kesi zake ni kubwa tuiachie mahakama kuu- Kelele zenu hazinifanyi nishindwe kulala!''..................
 
Huyu mtu sijui karogwa au sijui vipi.....

Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?
kwa hili amedhihirisha uhayawani wake hata kwa wasio mjua.
 
John Magufuli --'' Wana Kigamboni Pigeni mbizi kama mkiona Nauli ni Kubwa''
 
Ben Mkapa Rais--'' Ununuzi wa Migodi kwa Njia za Ajabu na Watu wana.....Wivu wa Kijinga''
 
Basil Mramba - ''Ndege ya Rais Lazima inunuliwe, ikiwezekana hata Wananchi wale Nyasi shauri yao..''
 
Wewe,na urembo wote huo unakuja kujisaidia hapa mbele za watu hata haya huna.

Haya mwambie Jk awe nayo,manake alitamka hayo mbele ya Bunge tukufu la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....bora mie najisaidia nitafanikiwa....si wanasema jisaidie na Mungu ndo atakusaidia zaidi....au??
 
Huyu mtu sijui karogwa au sijui vipi.....

Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?

kumbukeni alivyosema kuwa na foleni kubwa ya magari Dar ni maendeleo.
 
Nina akili timamu tena sana tu mkuu! Au umesahau pia alishawahi kusema ukitaka kula na wewe sharti uliwe je unabisha?

mkuu,mi nakumbuka wale waumini wa kanisa waliotengwa kule sumbawanga kwa kuisaliti cdm na pia ile juice tuliyokunywa juzi pale ikulu.
 
Haya mwambie Jk awe nayo,manake alitamka hayo mbele ya Bunge tukufu la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.....bora mie najisaidia nitafanikiwa....si wanasema jisaidie na Mungu ndo atakusaidia zaidi....au??
bwahahaha kuna ka ring tone ka kauli yake ile.....
 
Huyu mtu sijui karogwa au sijui vipi.....

Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?

Weka source na context, la sivyo hatuyatilii maanani.
 
Gebwe sana hilo li msafirishaji la maliasili kwa....
 
Back
Top Bottom