Dr jakaya kaniacha hoii wallahi

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Huyu mtu sijui karogwa au sijui vipi.....
nunueni magari mengi zaidi ili wawekezaji binafsi wawajengee barabara
Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?
 
huu ni uzushi mtupu,naona jamaa alikuwa hana kazi ya kufanya akaamua ku post uharo wake hapa.
 
Sishangai kama alisema hayo maneno! Kumbuka alishasema nyie hamuoni ajira kwa vijana zimeongezeka hapa kila mtu ana House Girl nyumbani kwake? Hii aliwaambia wabunge kule Dodoma.
 
jamaaa anakuambia wawekezaji hawawezi kuja nchini mpaka mnunue magari..bwahahahahah
kasema jana hiyo arifu...aiseee huyu jamaa imagine ni baba yako walahi tena namkana.....

Huyo jamaa ni kilaza mbhaya, ht chuo alipata makarai yote.
POPOBAWA.
 
Sishangai kama alisema hayo maneno! Kumbuka alishasema nyie hamuoni ajira kwa vijana zimeongezeka hapa kila mtu ana House Girl nyumbani kwake? Hii aliwaambia wabunge kule Dodoma.

unaonekana una njaa au usingizi mana mtu mwenye akili yake timamu hawezi kuandika utumbo kama huu mbele za watu
 
Rais anayesema ukitataka kula lazima uliwe muogope sana,manake hata tukitaka ajira lazima.......!!
 
unaonekana una njaa au usingizi mana mtu mwenye akili yake timamu hawezi kuandika utumbo kama huu mbele za watu

Nina akili timamu tena sana tu mkuu! Au umesahau pia alishawahi kusema ukitaka kula na wewe sharti uliwe je unabisha?
 
MIZENGO Pinda ''Vihela vyenyewe vidogo vinaishia kuwapa wapiga kura wetu wanapokuja dodoma''
 
Back
Top Bottom