Ndugu wapendwa najua mbaya kuuliza lakini sikuapenda kabisa kabisa jinsi ya huyu bwana anavyotreat watu na huu ugonjwa,...nimeulizwa na watu sana kuhusu kisukari nikawaelekeza kwa huyu mh naishia kutukanwa na kulaumiwa pasipo na haki
Ndugu mpendwa kumwona huyu bwna ni sh 20,000 NILIMPELEKA mtu jana lakiini wakati anatoka wakaanza kulalamika waliomtangulia alipokuja yeye alisema yaani nimeshoka nimechoka kabisa
akasema ameonana na dk alipomwona akaanza kumwambia shida zake wakati akiwa anaendelea
kumeweleza jamaa akamweleza shida yako inaitaji sh million 3 ,...kwa kweli baada yaa hapo akabonyeza kidude akaitwa mwingine wakati akiwa ndani ...,akamwamba aunt muda umeisha ...kwa kweli hii si uungwana nhisi mtu akija kwko dk anataka umweleze na pia umsikilize ......,na si kuangalia wako wangapi nje wanakusubiri
Nakutakia kazi njema bosi
Sasa huyo ndugu yako anataka kupona au abaki na 3M?
NINACHOJUA NI KWAMBA AKITOA HIYOFEDHA atapona BILA YA SHAKA...
Labda alijisikia duni kwa vile hana hiyo hela...
Mara ingine hata umasikini unasababisha ulalamiishi usiokuwa na sababu!
Sasa huyo ndugu yako anataka kupona au abaki na 3M?
NINACHOJUA NI KWAMBA AKITOA HIYOFEDHA atapona BILA YA SHAKA...
Labda alijisikia duni kwa vile hana hiyo hela...
Mara ingine hata umasikini unasababisha ulalamiishi usiokuwa na sababu!
Napenda sana busara zako.
Ngoja nikufundishe wewe..sijui unaishi nchi gani, sidhani kama upo Tanzania..Hakuna busara kwenye maswala ya ugonjwa, wala kudhihakiana kwa kuitana masikini haya Pdiddy masikini wewe tajiri saidia kuokoa maisha ya huyo alietakiwa 3 mil na Mungu atakulipa kumbuka unaweka akiba ya mbinguni.
Ndugu pole sana kama kumdhihak mtu kwako busara nimeanza kukuogopa inshort alieenda yuko vyema sana kifedha one of CEO ktk shirika la umma na kwake kilichomsumbuani uhakika wa kupona kwa hiyo mil 3 ...na hapo ndipo alipopagawa na majibu ya dk ndodi ni dk mzuri sikatai ila nikwambie kama hizi 20 za kumwona nimewapeleka watu wengi sana kwake wengi..na mwisho kuishia maalalamiko mara gali sana ni ngumu kwa mtu wa MUNGU kuwa kibiashara zaidi badala ya kuangalia utasaidiaje kuwaponya kupitia kipaji MUNUG alichokupa...nahisi anaitaj kumuuliza MUNGU tena je hii huduma ametumwa na Mungu Ama lah....bado dk naitaji kuona ukienda mbali kwa huduma hii lakini nisingependa kuona ofisi zake zikihudhuriwa na MATAJIRI WENYE PESA ZO KAMA WAKINANapenda sana busara zako.
Sasa huyo ndugu yako anataka kupona au abaki na 3M?
NINACHOJUA NI KWAMBA AKITOA HIYOFEDHA atapona BILA YA SHAKA...
Labda alijisikia duni kwa vile hana hiyo hela...
Mara ingine hata umasikini unasababisha ulalamiishi usiokuwa na sababu!
ngoja nikufundishe wewe..sijui unaishi nchi gani, sidhani kama upo tanzania..
Ni kwamba watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa yanayotibika..hii inatokana na umasikini...period!
Hujasikia malaria inaua kuliko ukimwi tanzania?...malaria si ni kukosa net?, na kushindwa kwa juhudi za kitaifa kuondoa ugonjwa huo(kama walivyofanya america) au kuishi kwenye mazingira hatarishi(madimbwi ya maji etc)...
Tusiogope kusema ukweli, kisa unauma!...kwa tiba zetu za bongo kama huna hela unakufa!....basi!
Labda tuwekane sawa kwa haya kwanza:mkuu PK
SABABU SIO HELA TU;ALIMUULIZA INCASE AKUPONA NA HIYO HELA INAKUWAJE AKASEMA
HOSPITALINI UNGEFANYAJE;AKASEMA TUNATAFUTA MBADALA WA DAWA NYINGINE AKAMUULIZA NTALIPIA AKASEMA OOOH YEAH TENA UKIJA UNAANZA NA HII 20 TENA AKAENDELEA AKIWA ANAMWELEZEA SHDA ZAKE AKAMKTAISHA NIMESHASEMA MAMA WE NENDA TAYARISHA MIL 3 WIKI KUMI MZIMA ASIPOPONA TUTAMWANGALIA TENA...PRBLM NI KWANZA AKUWA MSTAARABU KUMSIKILIZA MTU NA KUJALI WALIO NJE AKIINGIZA 20 ALFU NA KWELI KULIKUWA SI CHN YA 30..ANAYWA AWE ANASIKILIZA MAHTAJI YA WATU NIMEWAPELEKA WENGI SANA WAKALALAMIKA JINSI YA TREATMENT WANAYOPATA ACHILIA MBALI PESA ZIKO JUU ..INAUMIZA SANA SANA PK..POLE KAMA UKO KARIBU NAE LKN HATA M NILIKUWA MPENZI SANA WA VIPIND VYAKE
Ngoja nikufundishe wewe..sijui unaishi nchi gani, sidhani kama upo Tanzania..
Ni kwamba WATANZANIA wengi wanakufa kwa Magonjwa yanayotibika..Hii inatokana na umasikini...period!
Hujasikia Malaria inaua kuliko UKIMWI Tanzania?...Malaria si ni kukosa net?, na kushindwa kwa juhudi za kitaifa kuondoa ugonjwa huo(kama walivyofanya America) au kuishi kwenye mazingira hatarishi(madimbwi ya maji etc)...
Tusiogope kusema ukweli, kisa unauma!...Kwa tiba zetu za Bongo kama huna hela unakufa!....basi!
Ndugu pole sana kama kumdhihak mtu kwako busara nimeanza kukuogopa inshort alieenda yuko vyema sana kifedha one of CEO ktk shirika la umma na kwake kilichomsumbuani uhakika wa kupona kwa hiyo mil 3 ...na hapo ndipo alipopagawa na majibu ya dk ndodi ni dk mzuri sikatai ila nikwambie kama hizi 20 za kumwona nimewapeleka watu wengi sana kwake wengi..na mwisho kuishia maalalamiko mara gali sana ni ngumu kwa mtu wa MUNGU kuwa kibiashara zaidi badala ya kuangalia utasaidiaje kuwaponya kupitia kipaji MUNUG alichokupa...nahisi anaitaj kumuuliza MUNGU tena je hii huduma ametumwa na Mungu Ama lah....bado dk naitaji kuona ukienda mbali kwa huduma hii lakini nisingependa kuona ofisi zake zikihudhuriwa na MATAJIRI WENYE PESA ZO KAMA WAKINA
PAKAJIMMY NA SUMBALAWINO....KILA LA KHERI JAMANI MUNGU NDIE MWEZA YOTE
PDIDY...UMETUMIA BUSARA NA HEKIMA KUWAKILISHA UJUMBE WAKO WENYE UCHINGU MWINGI NA MAUMIVU YA NDANI......nakutume kawafundishe vyama fulani kuwakilisha ujumbe bila kuleta madhara