Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

 
Ndodi alisema atatuwekea video ya semina iliyofanyika Dodoma hapa jf au kwenye youtube, kama kuna aliyeiona atupe link.
 
Huyu ni mfanyabiashara na ninampongeza sana kwani ameweza kugundua watanzania wanapenda nini? Ki ukweli mada zake za kidaktari anachemka sana sana hasa kwa sie wenye ufahamu kidogo na haya maswala. Kwingineko siwezi sema ila professionally ana potosha jamiii.
 
 
usimwite mtu taperi kama hajakutapelikwani kuna watu wamesaidiwa na dawa na mafundisho yake.
 
Mimi namfuatilia vizuri sana huyu "doctor". Ni kweli hana taaluma yoyote zaidi ya kuwa anasoma sana vitabu vya matibabu ya kutumia lishe vya WASABATO. Ila nampongeza kwa kuelimisha jamii ya watanzania kwani wengi hawawezi kusoma hivi vitabu ni vya kizungu na hata wanaojua kizungu hatuna culture ya kusoma!

Nasikia alikuwa mwalimu sijuhi wa sekondari huko mikoani.
 
wadau nahitaji contacts za huyu ndugu maana naona meno yanataka kunisumbua. Kuna dawa moja aliitangaza kwenye tv kuhusu kutibu meno permanently
 
alishagundua udhaifu wa watanzania wanaogopa sana kufa. Hata babu wa loliondo aliligundua hilo. Wajinga ndiyo waliwao.
Julius ceaser alisema
Of all the wonders yet i ve ever heard, it seems to me mostly strange man fearing death the necessary end.
It will cum when it will
 
wadau nahitaji contacts za huyu ndugu maana naona meno yanataka kunisumbua. Kuna dawa moja aliitangaza kwenye tv kuhusu kutibu meno permanently


Ukimkosa nenda Loliondo kwani ni yaleyale...utapeli kila kona Tz
 
Raia fulani, huwa anasema ofisi zake ziko magomeni, jaribu kumtembelae kweny ofisi zake
 
Raia fulani, huwa anasema ofisi zake ziko magomeni, jaribu kumtembelae kweny ofisi zake

ni kweli. Yuko pale itumbi hoteli, ila kuongea nae kwenye simu itarahisisha zaidi
 

Ajiunge hapa halafua apunguze ulaji wa kwenda kumwona?
 

Bukyanagandi na wadau wote JF
Hii ni changamoto kwetu.............tuanzishesheni jukwaa la hamasa la watoto wadogo kabisa sugetion under 10 yrs kupenda kusoma tuweke hata mashindano .................turudisheni ari ya kujisomea....hali iantisha sana sio siri!
 
Kwanza naomba nirekebishe kidogo,
Dr. Isack Ndodi si Mchungaji bali ni Mwinjilisti. Kuna tofauti kati ya Mchungaji na Mwinjilisti. Dr. Ndodi hajawahi kuwekewa MKONO WA KICHUNGAJI, hivyo yeye si Mchungaji bali ni Mwinjilisti anayefanya kazi ya kueneza Injili ya Bwana Yesu. Pia, Dr. Ndodi ni Mganaga anayetumia Tiba Asilia hasa ya mimea amabayo hata ktk maandiko matakatifu yanashauriwa tuyatumie, kwani haya yenye kemikals yamekuwa na side effects nyingi sana kwetu. Dr. Ndodi hapigi Ramli na ndiyo maana yuko tofauti na Waganga wa Jadi/Kienyeji. Tatizo ni kwamba ni kweli Gharama yake ni kubwa sana, hivyo wengi wenye kuhitaji huduma yake wanashindwa kupata kutokana na gharama yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…