Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saint Ivuga, Feb 16, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,270
  Likes Received: 19,413
  Trophy Points: 280
  wajameni tuandamaneni hadi serikali iondoke madarakani,serikali imejisahau sana na hakuna utendaji kazi na wala hakuna uwajibikaji, mabomu ya mbagala yalilipuka na wala hakuna mtu aliyewajibishwa na yamelipuka mabomu mengine tena gongo la mboto ,ndani ya serikali hii hii,sasa tuna uhakika gani kuwa mabomu ya mbagala hayawezi kulipuka tena? hii inamaanisha kuwa hakuna mtu ambaye yuko serious na hili tatizo linaanzia juu kwenye hawa watu tuliowapa majukumu ya kutuongoza, hawa wanajiangalia wenyewe tu na hawaangalii maslahi ya wananchi na ya nchi yao.so guys mnasemaje? tuwatoeni hawa ..Egypt walikaa zaidi ya wiki 2 ndio mtu wakaondoka.
  na nawapa mfano mmoja hai wa uwajibikaji kwenye nchi za wenzetu kwa sababu naona hata rais wetu naye hataki kutumia madaraka tuliyompa hii inaonyesha kabisa kuwa labda kuna kundi liliomuweka pale na sio wananchi na ndio maana hawezi kufanya kitu kwa kutumia madaraka yake bila kulishirikisha hilo kundi. si mda mrefu kule nchini Russia-Moscow uwanja wa ndege ulilipuliwa na ikajulikana kuwa maofisa wa polisi walipewa taarifa mapema sema hawakufuatilia ..na kilichotokea ni kuwa rais mwenyewe aliwafukuza kazi mara moja na watu wengine wakateuliwa kupiga kazi, hapa inaonyesha kuwa hakuna kucheka na nyani,sasa unafikiri hao wakioteuliwa watafanya uzembe na kupuuzia habari yoyote? tuje hapa kwetu mbagala yalilipuka wakadai kuwa hayatalipuka tena..so what is this? they have to go
   
 2. D

  DKNY Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Mliowauwa,imetosha!
   
 3. n

  nzom Senior Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  :embarrassed::msela:HAKUNA SHAKA KUA KUNA ULAZIMA WA WAZIRI WA ULINZI KIPINDI CHA MABOMU YA MBAGALA HUSSEIN MWINYI YEYE NA TUME YAKE KUJIUZULU KWANI ALITAMKA KUA HAKUNA KITU KAMA HICHO KUTOKEA TENA NA SASA MABOMU NA AMBAYO HAYAJULIKANI YATAKWISHA LINI NA YALE MAPENDEKEZO YAMEWEKWA WAPI AU KWA SABABU WATU WALIKWISHA KULA POSHO ZAO NDIO MAANA HAWAJALI TENA MAISHA AU NDIO KUPUNGUZA ONGEZEKO JIJINI DAR
  HAKUNA JIBU MPAKA SASA NAKUONA KWELI KUA WATANZANIA NINI KIFANYIKE
   
 4. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Alikuwa naibu wa mabomu ya Mbagala na sasa ni waziri wa mabomu ya Gongo la mboto. Adabu iko wapi?
   
 5. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  kuhamisha tu haitoshi, waliohusika kwa uzembe wajiuzulu na wachukuliwe hatua kali kwa kusababisha mauaji ya halaiki ndani ya nchi yetu tanzania yenye amani. Pamoja na wale wa mbagala ambapo mpaka sasa hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa, ndugu zetu baadhi bado wanalalal katika matent
   
 6. M

  MMASSY JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  watanzania tumezoea sasa kufa kama kuku,mabomu yanalipuka zaidi ya kilomita kumi kutoka kambi ya jeshi huku ikiwa ni mara ya pili kutokea baada ya yale ya mbagala.kwa dhana nzima ya uwajibikaji kabla hakujakucha asubuhi ya leo watanzania tungependa kusikia kuwa watajwa hapo juu wamejiuzulu nyadhifa zao mara moja sio kwa kusababisha mauaji bali wameshindwa kudhibiti hali hiyo na kwa hiyo haraka sana wanatakiwa wawajibike kwa kuendelea kusimamia mauji ya bahati mbaya na yale yakukusudia kama ya arusha.

  Kwa kuwa pinda aliitumia taarifa ya polisi kule arusha kuueleza umma kuwa chadema ilisababisha mauaji kule arusha.sasa mungu amejibu kwa kuwaonyesha watanzania kuwa serikali hii haipo makini kaika kulinda maisha ya watanzania kwa kuwa:
  1.muda si mrefu kule mbagala yalilipuka mabomu na watu kadhaa wakapoteza maisha,wananchi wakapiga kelele na baadaye kama kawaida wakabadilishiwa cd wakasahau.
  2.kule arusha polisi waliwauwa raia badala serikali kufuatilia na kuona uhalali wa mauaji yale,serikali ilipongeza jeshi hilo kwa kuua na kuwaeleza watanzania kuwa chadema ndiyo imeua.
  3.kule mbalizi aliuwawa raia kwa jitihada za kumlinda mwekezaji naye pinda akasema ulikuwa ukorofi wa wananchi.
  4.leo yametokea ya gongo la mboto,kesho ni lazima watakuja tena na majibu mepesi kwa maswali magumu kama kawaida yao.karibuni kumsikiliza pinda kesho

  swali,taarifa za kiitenligensia za mwema leo zilisafiri?

  Muda wa hawa watu kusimamia mauaji ya watanzania umekwisha sasa yatosha waachie ngazi.
   
 7. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Labda JK aanze. Mbona wengine hawakujiuzulu
   
 8. S

  Salimia JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Usiwaingize wenzio mkenge Kaka, ziko njia za kistaarabu na za kisomi zaidi ku deal na issues za namna hii. Yaliyotokea Egypt hayako applicable kila nchi ndugu yangu. Hiyo siyo formula, it really depends on numerous factors to achieve that goal.
   
 9. i

  ibange JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hatuna serikali. mimi ni mmoja ya waathirika nilikuwa nimekaa ndani nasubiri mpira mabomu yamelipuka familia zimesambaratika. serikali gani haiwezi kujifunza jamani? watuachie nchi yetu
   
 10. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 11. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Alikuwa naibu wa mabomu ya Mbagala na sasa ni waziri wa mabomu ya Gongo la mboto. Adabu iko wapi
   
 12. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Alikuwa naibu wa mabomu ya Mbagala na sasa ni waziri wa mabomu ya Gongo la mboto. Adabu iko wapi?
   
 13. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimependa hii.
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yanayotokea ndani ya wiki moja
  - Waziri Mkuu Pinda anapindisha sheria kwa kulidanganya bunge na wananchi huko Dodoma bungeni
  - Spika Anna Makinda Samamba anatetea wongo wa pinda Bungeni kwa kumtetea Pinda aheshimiwe kama mkubwa hata akidanganya
  - Mheshimiwa Godbless Lema ananyimwa haki bungeni ya kuanika ukweli ambao Pinda amelidanganya bunge na wananchi
  - Msafara wa Mke wa Rais Kikwete unapata ajali na dereva wa Ikulu (usalama wa taifa) anafariki ajalini
  - Leo ghala la silaha za vita la jeshi la Wananchi mabomu yanalipuka na kuathiri makazi ya raia kitu ambacho kilishatokea ndani ya miaka miwili huko Mbagala.
  Tuendelee kuomba Mungu atunusuru
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yanayotokea ndani ya wiki moja
  - Waziri Mkuu Pinda anapindisha sheria kwa kulidanganya bunge na wananchi huko Dodoma bungeni
  - Spika Anna Makinda Samamba anatetea wongo wa pinda Bungeni kwa kumtetea Pinda aheshimiwe kama mkubwa hata akidanganya
  - Mheshimiwa Godbless Lema ananyimwa haki bungeni ya kuanika ukweli ambao Pinda amelidanganya bunge na wananchi
  - Msafara wa Mke wa Rais Kikwete unapata ajali na dereva wa Ikulu (usalama wa taifa) anafariki ajalini
  - Leo ghala la silaha za vita la jeshi la Wananchi mabomu yanalipuka na kuathiri makazi ya raia kitu ambacho kilishatokea ndani ya miaka miwili huko Mbagala.
  Tuendelee kuomba Mungu atunusuru
   
 16. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watajiuzulu vipi bila shinikizo?
   
 17. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,843
  Likes Received: 11,962
  Trophy Points: 280
  Tatizo la nchi yetu hii hatuna wanaharakati wa haki za binadamu tuna wanaharakati wa haki za matumbo yao, ingekuwa nchi za watu wahusika wangepandishwa kizimbani kwa vile huu ni uzembe.
   
 18. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #18
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Correct; it is a question of accountability, a philosophy introduced by his father during his presidency. Senior Mwinyi had resigned his ministerial position for mistakes committed by his subordinates, now is the time for the son to do the same.
   
 19. n

  niweze JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama tunavyo fahamu ccm, janga likitokea ndipo unapandishwa cheo. Hawa wabinafsi sana kuwajibika. Watanzania tuwatoe sisi wenyewe na hakuna kuwaomba wajiudhuru.
   
 20. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hussein must resign..
   
Loading...