Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno

Nakubaliana nawe kuwa mazingira yanatofautiana. Lakini kwa mwelekeo huu wa mambo, toka Kagoda, Dowans, Meremeta, EPA, Mabomu mbagala na gongo la mboto, Mauaji Arusha, Ufisadi wa rada, wizi wa kura uchaguzi mkuu 2010, YALOTOKEA EGYPT yaweza kabisa kutokea TZ. Hali ya mambo inaandaa umma kwa ajili ya mambo kama ya Egypt na Tunisia.
 
Please!!!!!!! JWTZ is just de-stocking old bombs from their armories to create space for new ones. How do you expect them to do it ? Throw them at the garbage dump? That could be even more dangerous. Give our brave fighters a break. :coffee:
 
How to force this corrupt leader kikwete to reign is a problem...........let us meet at freedom square (mnazi mmoja) dar for this..................are u readyyyyy
 
Wew ndo uresign mwache rais wetu
Kwa kweli inauma sana kuona Watanzania bado hawana macho ya kuona mpaka sasa hivi kuwa hali siyo nzuri kabisa. kwa kweli inakera sana. Najiuliza sijui tifanye nini kwa watu kama wewe. Asante bwana.
 
Tatizo ninaloliona ni kuwa watendaji wengi Serikalini vikiwamo vyombo vya dola wameacha mipango yote na kujikita tuu kwenye mipango ya namna ya kukiangamiza chama kikuu cha upinzani nchini kwa sasa. No critical thinking at all
 
Chedma wakiwa Arusha walisema nchi hii haikaliki je hii ndo madhara yake?
Yes..
Haya ndio madhara ya serikali iliyopo!

Wanalipa DAMU waliyowaahidi mapepo kwa gharama ya roho za raia...

Freemasons?....*******Network Searching!...

Fumbukeni macho wanandugu....tunapelekwa kusiko!
 
Watajiuzulu vipi bila shinikizo?

Raisi awaite wahusika Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa majeshi na vyombo vya habari atamke tuu kuwa amekubali kujiuzulu kwao baada ya tamko hilo avishukuru vyombo vya habari na kuondoka. Kwani Prof. Kighoma Ali Malima alifanyiwa nini na Mwinyi, kuna barua aliyoandika ya kujiuzulu?
 
Yanayotokea ndani ya wiki moja
- Waziri Mkuu Pinda anapindisha sheria kwa kulidanganya bunge na wananchi huko Dodoma bungeni
- Spika Anna Makinda Samamba anatetea wongo wa pinda Bungeni kwa kumtetea Pinda aheshimiwe kama mkubwa hata akidanganya
- Mheshimiwa Godbless Lema ananyimwa haki bungeni ya kuanika ukweli ambao Pinda amelidanganya bunge na wananchi
- Msafara wa Mke wa Rais Kikwete unapata ajali na dereva wa Ikulu (usalama wa taifa) anafariki ajalini
- Leo ghala la silaha za vita la jeshi la Wananchi mabomu yanalipuka na kuathiri makazi ya raia kitu ambacho kilishatokea ndani ya miaka miwili huko Mbagala.
Tuendelee kuomba Mungu atunusuru

hali sio nzuri jamani lazima kifanyike kitu kuwaonyesha hawa watu kwa kweli ni watu waovu sana.
 
Watanzania hii siyo siasa. Inatakiwa tuungane wote kuhakikisha Dr. Hussein Mwinyi, Gen. Davis mwamunyange wanaachia nyadhifa zao. Ghala mbili za jeshi zimelipuka ndani ya kipindi chao cha uongozi (ndani ya mwaka mmoja). Hii kama wananchi tusikubali maana viongozi wataendelea kuwa wazembe na kubaki madarakani. Ilianza Mbagala, Gongolamboto, then itaenda Lugalo, Masaki nk.

Ninatoa hojo wananchi wote tuungane.
 
Kwa masikitiko makubwa Watanzania tumepata pigo jingine kubwa la kundokewa na ndugu zetu kwa milipuko ya mabomu ndani ya kipindi kisicho zidi miaka miwili,tatizo lililo tokea Mbagala 2009 sidhani kama chanzo chake kiko tofauti na tatizo la jana,shida ya watendaji wetu wa serikali hii ni kusema mambo ambayo hayatekelezwi,na hata pale mambo yanapoharibika hakuna anayewajika wala kuwajibishwa kwa kuwa kila mmoja amewekwa mahali fulani na kigogo fulani,hivyo watu wanaogopana na matokeo yake ni majanga yasiyom kwisha kwa watanzania maskini wasioi na hatia,Uko wapi rais wa Tanzania ? Kama watendaji wako hawawajibiki tumlaumu nani ?
 
Sijui ni utoto au nini!
Huyu Mwinyi mbona babaake alikuwa mwelewa miaka ya 80s na akajiuzulu bila kulazimishwa au kushikiwa Bango?...sasa wanasubiri nini hawa?
Naendelea kuamini sasa kuwa watu wa zamani walikuwa na akili kuliko sisi wa sasa!
 
yani hapo ndio uswaiba unapo take place, utasikia Mkuu wa Kikosi kashushwa Cheo sijui watashusha mpaka lini, mikambale inabaki tuuuuuu
jamani kama imewezekana Misri na kwetu pia inawezekana.... naelewa kwanini mtu anaammua kujitoa mhanga kwa kweli.........
Bora mtu mmoja afe na watu wapumbavu ... kuliko wafe watu w asio na hatia kwa ajili ya Mtu mmoja mpumbavuuuuuuuuuu
 
Raisi awaite wahusika Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa majeshi na vyombo vya habari atamke tuu kuwa amekubali kujiuzulu kwao baada ya tamko hilo avishukuru vyombo vya habari na kuondoka. Kwani Prof. Kighoma Ali Malima alifanyiwa nini na Mwinyi, kuna barua aliyoandika ya kujiuzulu?
Precisely!wazo lako ni zuri sana mkuu!!
 
Back
Top Bottom