Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

Status
Not open for further replies.
duuu wandugu mmenikumbusha mbali kweli enzi za STELLA HATOI AKILEWA ANATOWA ...kopo moja tsh 450/= we wacha...vilikuwa havileweshi ..kuna mwanamke nilikuwa nikimchukua ..mpaka aanze kukuelewa ameshakunywa vikopo 20...hapo ndio NOW YOU ARE TALKING....ENZI HIZO MIMI ILIBIDI NIWE NAKUNYWA SAFARI YENYE KIZIBO CHEUPE HATA JINA HAKIJAANDIKWA WALA HAKUNA LABEL ...WE WACHA TSH 500/= AU SANA KONYAGI ..NAYO ZAIDI YA KIZIBO KUANDIKWA KONYAGI HAIKUWA NA LABEL TSH 900 /= KUBWA!!

ILE STELLA NI KWELI ILIKUWA DILI YA MJASIRIAMALI WA KWANZA KUKAA IKULU ...TOFAUTI ZAO HUYU HAKUWA NA KAMPUNI ...KWANI MIZIGO YAKE ILIKUWA HATA HAIKAGULIWI ...PIA AKIUZA WALE NDEGE TAUSI NA KUFANYA BIASHARA NA KINA BAGHDAD...NA KINA SHEMEJIII ABBAS GULAMALI,MURTAZA DEWJI,AZIM DEWJI ,MOHAMED BORA et al......

wakati dar wanakuinywa STELLA ARTOIS ..kule kaskazini walikluwa wanakunywa TUSKER ZA MOTO zilizokuwa zinavushwa kwa njia za panya ....na kuuzwa kwa njia za panya in MAKE SHIFT BARS zilizokuwa zinafunguliwa mobile ...yaani pic up ikishavuka mpaka inapaki shambani ...kukwepa polisi na hapo shambani ndipo walevi mnakaa na kuuziwa pombe hadi gari iishe BIA CHUPA MOJA YA TUSKER TSH 300/=.................KIMSINGI ILE HAIKUWA SERIKALI BALI ILIKUWA NI RUKSAAAAAAAAA!!! YAANI UHURU UKIKUWA ZAIDI YA UHURU!!!!.....HATA UJENZI WOTE HOLELA MNAOUONA LEO ULIFANYIKA KIPINDI HICHO!!!

KUNAKIPINDI ILIFIKIA SERIKALI YA RUKSA ILIKUWA INAKOSA PESA HATA ZA KULIPA MISHAHARA ..INABIDI IKOPE MABENKI AU WAFANYABIASHARA WAKUBWA..KWANI TRA WALIKUWA TAABANI WAKUKUSANYA BILIONI 25 TU KWA MWEZI ...NA HUO MWISHO WA MWEZI UKIFIKA TU LT GEN.TUMAINIEL KIWELU NA BAADAYE LT.GEN SAYORE WALIOKUWA WANADHIMU KWA VIPINDI TOFAUTI WALIKUWA HATAKI MCHEZO WA KUCHELEWESHEA WANAJESHI MISHAHARA YEYE ALIKUWA AKIWATUMA ASKARI WAENDE BENKI KUU MARA TU TAREHE IKIFIKA NA KAMA WAKIKUTA FESHA HAZIJAFIKA HAPO WALIKUWA WANAPELEKWA LONG ROOM TRA WANAHESABIWA ZAO WANASAINI WANAONDOKA KUPELEKA MISHAHARA VIKOSINI...IT WAS TERRIBLE!!

WATANZANIA TUMEKUWA WASAHAULIFU MAPEMA HIVYO!!!
 
Ni vema kuheshimu mawazo yake...Hii ya kukimbilia kuhukumu ina madhara yake..

Kwa hiyo wewe mkuu hata mawazo ya mwendawazimu unapoteza nayo muda? Ni kweli mwendawazimu akiongea vitu sometimes humsaidia mwenye akili timamu kufikiria lakini huyu amefikia hatua ya kutuletea thread za kutushushia heshima na kuonekana hatuko serious na mambo yetu hapa.

Nakata kwa nguvu zote kutetea tabaka la kifalme,Tanzania ni yetu sote
 
duuu wandugu mmenikumbusha mbali kweli enzi za STELLA HATOI AKILEWA ANATOWA ...kopo moja tsh 450/= we wacha...vilikuwa havileweshi ..kuna mwanamke nilikuwa nikimchukua ..mpaka aanze kukuelewa ameshakunywa vikopo 20...hapo ndio NOW YOU ARE TALKING....ENZI HIZO MIMI ILIBIDI NIWE NAKUNYWA SAFARI YENYE KIZIBO CHEUPE HATA JINA HAKIJAANDIKWA WALA HAKUNA LABEL ...WE WACHA TSH 500/= AU SANA KONYAGI ..NAYO ZAIDI YA KIZIBO KUANDIKWA KONYAGI HAIKUWA NA LABEL TSH 900 /= KUBWA!!

ILE STELLA NI KWELI ILIKUWA DILI YA MJASIRIAMALI WA KWANZA KUKAA IKULU ...TOFAUTI ZAO HUYU HAKUWA NA KAMPUNI ...KWANI MIZIGO YAKE ILIKUWA HATA HAIKAGULIWI ...PIA AKIUZA WALE NDEGE TAUSI NA KUFANYA BIASHARA NA KINA BAGHDAD...NA KINA SHEMEJIII ABBAS GULAMALI,MURTAZA DEWJI,AZIM DEWJI ,MOHAMED BORA et al......

wakati dar wanakuinywa STELLA ARTOIS ..kule kaskazini walikluwa wanakunywa TUSKER ZA MOTO zilizokuwa zinavushwa kwa njia za panya ....na kuuzwa kwa njia za panya in MAKE SHIFT BARS zilizokuwa zinafunguliwa mobile ...yaani pic up ikishavuka mpaka inapaki shambani ...kukwepa polisi na hapo shambani ndipo walevi mnakaa na kuuziwa pombe hadi gari iishe BIA CHUPA MOJA YA TUSKER TSH 300/=.................KIMSINGI ILE HAIKUWA SERIKALI BALI ILIKUWA NI RUKSAAAAAAAAA!!! YAANI UHURU UKIKUWA ZAIDI YA UHURU!!!!.....HATA UJENZI WOTE HOLELA MNAOUONA LEO ULIFANYIKA KIPINDI HICHO!!!

KUNAKIPINDI ILIFIKIA SERIKALI YA RUKSA ILIKUWA INAKOSA PESA HATA ZA KULIPA MISHAHARA ..INABIDI IKOPE MABENKI AU WAFANYABIASHARA WAKUBWA..KWANI TRA WALIKUWA TAABANI WAKUKUSANYA BILIONI 25 TU KWA MWEZI ...NA HUO MWISHO WA MWEZI UKIFIKA TU LT GEN.TUMAINIEL KIWELU NA BAADAYE LT.GEN SAYORE WALIOKUWA WANADHIMU KWA VIPINDI TOFAUTI WALIKUWA HATAKI MCHEZO WA KUCHELEWESHEA WANAJESHI MISHAHARA YEYE ALIKUWA AKIWATUMA ASKARI WAENDE BENKI KUU MARA TU TAREHE IKIFIKA NA KAMA WAKIKUTA FESHA HAZIJAFIKA HAPO WALIKUWA WANAPELEKWA LONG ROOM TRA WANAHESABIWA ZAO WANASAINI WANAONDOKA KUPELEKA MISHAHARA VIKOSINI...IT WAS TERRIBLE!!

WATANZANIA TUMEKUWA WASAHAULIFU MAPEMA HIVYO!!!

Una Haki ya Kumkataa Hussein Mwinyi..., lkn si ALLI HASSAN MWINYI....
Unayoyaweka hapo ni REDIO MBAO....
 
Swala siyo kunywa stella artois, ila kuangalia masilahi ya nchi na watu kwaujumla. Biashara ya IKULU ilianza kwa mwinyi. Naamini kama unakumbukumbu utajua nchi kiuchumi ilukuwa inadidimia, unchumi ulikuwa unaelekea usawa wa uchumi wa zimbabwe ila siyo kama ilivyo zimbabwe kiutawala au uchumi (usilewe vibaya). Sitegemei mchumi au mtu wa kuchambua atasifia uchumi enzi ya mwinyi. IN COMPARISON na Mkapa uchumi kipindi chake ulibadilika na kuwa mzuri kwa kuweka msingi mzuri sana TATIZO LA MKAPA ufisadi wake na watu wake. INAMAAN kama angeendelea kuwa MR.CLEAN na kupinga ufisadi kwa dhati hali ya nchi ingekuwa nzuri sana sana kiuchumi kuliko ambavyo tunaona kwa kulinganisha na utawala wa Mwinyi

mkuu, nisome vizuri.
tafadhali rudia tena nilichosema
 
Una Haki ya Kumkataa Hussein Mwinyi..., lkn si ALLI HASSAN MWINYI....
Unayoyaweka hapo ni REDIO MBAO....
]

nafikiri ungesema sina haki ya kumkataa hussein mwinyi ..kwa kuwa yeye si ALI HASSAN MWINYI...OTHERWISE kusema serikali enzi ya mzee mwinyi ilikuwa safarini SIDHANI KAMA HIYO MTU MWENYE AKILI ANAWEZA KUITA REDIO MBAO...it was obviuos!!!
 
Kwa vile Zitto ameonekana kuwa ana nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 baada ya muda wa maendeleo ya uhakika yanayoletwa na Kikwete kuisha. Ni vyema sasa ikaangaliwa kwa upande wa ccm ni kina nani wenye uwezo wa kugalagaza wapinzani kwenye uchaguzi. Ni ukweli kuwa ccm itashinda tena kwa kishindo 2010 na kwa kishindo zaidi 2015, 2020, 2025, 2030, 2035 nk, mimi naanza na huu uchaguzi wa 2015 na kumpendekeza Dr Mwinyi kwa hii nafasi muhimu kabisa.

Ni msomi na mchapakazi mzuri. Ni mchamungu na msafi. Mwenzetu huyu ni mpole na mkarimu kama baba yake. Ruhusa na maendeleo ya watanzania wote kama aliyoleta baba yake. Ataendeleza sera za maendeleo za ccm na kuwanyima wahafidhina nafasi ya kuvuruga nchi.

Dr Hussein Mwinyi for president of Tanzania - 2015

Je, ni yule aliyeenda kuongea utumbo wakati wa mgomo wa madaktari wa Muhimbili? Kama ni yeye hatufai.
Na zaidi ni maendeleo gani aliyotuletea huyo baba yake kama si kutufanya tuonekane watu tusioweza kufikiria? Ni uchumi gani alioujenga huyo baba yake kama si tu kuruhusu bidhaa za bei nafuu kutoka kwa maswahiba wake kuingia na yeye kusafirisha dhahabu ya nchi hii kwa manufaa yake binafsi?
 
..ALIKUWA MWASISI WA BIASHARA IKULU.........TEH TEH!!

NAYE MWANA PAMOJA NA KUWA HANA KASHFA ..LAZIMA ATUAMBIA KWANINI WAS CORWARD..kwa nini alikimbia jeshi...ambalo leo ni waziri..tunajua baba yake alimuhamisha mkuranga ili awe mbunge wa kwahani zanzibar ili baagdaye aje kuwa rais wa zanzibar au wa muungano kwa kigezo cha zanzibar....

pia kwa muendelezo wa u coward atuambie kwa nini hadi sasa HAJATEMBELEA VIKOSI VYA TANZANIA VINAVYO SAVE COMORO,LEBANON,SUDAN-DARFUR...ets ,pamoja na kuwa hakuwepo kwenye kuaga marehemu wa helicopter.....amekuwa kimya mno ...hili tukio la kuanguka kwa helicopters needed a MINISTERIAL STATEMENT ...ambayo hajatoa..,KAMA NI KWELI ANATAKA KUJA KUWA RAIS AJIREKEBISHE ZAIDI..IKIWEMO KUWA KARIBU ZAIDI NA RAIA ...aache UTOTO WA MAMA!!
 
fashion_bulldog.jpg

MH. RAISI MTARAJIWA

Malaika akishuka leo na kuingia ndani ya chama cha CCM, utukufu wake wa kimbingu unatoweka palepale. Haiwezekani raisi bora atoke ndani ya CCM. Mwaka 2010 ni bora picha ya MH. MBWA ikapamba ofisi zetu, biashara zetu kama raisi wa nchi yetu kwa sababu zifuatazo:

1. Tabia ya mbwa aliyefundishwa na kulelewa vizuri, huwa anamjua bwana wake na majukumu aliyopewa. Maana yake jukumu la mbwa ni kulinda mali ya tajiri wake [Mali za Watanzania] na mali hizo zinatumiwa na bwana wake na siku zote ni mkali mno kwa yeyote anayeingia katika himaya yake. Tanzania leo hii tumekosa mbwa wa kulinda mali zetu. Wanaingia wanaoitwa wawekezaji kwa ndege kwenye viwanja vyao ambavyo hakuna ukanguzi wowote wanachukua dhahabu, almasi na mali asili kama vile wanatoka kwenye shamba la bibi.

2. Mbwa aliyefundishwa siyo mlafi wala hali chakula kutoka kwa mtu yeyote isipokuwa kutoka kwa bwana wake. Maana yake ni kuwa mbwa anakula chakula alichoandaliwa na bwana wake peke yake, ukienda kwenye himaya yake na nyama ya kuchoma kama wewe siyo bwana wake hatakula wala haisogelei. Raisi wa namna hiyo wapo lakini akiingia ndani ya nyumba ya CCM utukufu huo unatoweka, rushwa mtindo mmoja, kupora mali na rasilimali za taifa na uchafu wote unaoweza kuutaja ndiyo itikadi ya ccm. Raisi analipwa mshahara mnono ambao haukatwi kodi na pensheni nzuri na huduma zote bure hadi kifo, lakini raisi anaiba !!

3. Tabia ya mbwa hapendi makuu. Dawa hospitalini hakuna, pembejeo za kilimo hakuna, shule hazina madawati wala vitendea kazi, watanzania wanaangamia kwa ufukara lakini kiongozi akitoka ccm kipaumbele chake ni mambo ya fahari na familia yake, mama ataazisha asasi yake, mawaziri watazurura kila kona kwa magari ya kifahari na safari za nje zisizokwisha. Baada ya kikao cha bunge wataanza kuzurura mikoani kuelezea wananchi ubora wa bajeti ya serikali.

TUNATAKA KIONGOZI WA KULINDA MALI ZA NCHI NA KUWATUMIKIA WATANZANIA, KAMA HAYUPO CHAGUO LANGU NI PICHA HIYO HAPO JUU.

Watanzania naomba kura zenu 2010, 2015 ............
 
Hao kina Masha na Membe wataendelea kuwa mawaziri au watapewa vitengo maalumu vya ulaji kidogo watulie. Kwa sasa mambo yote ni kwa Hussein Mwinyi maana hata hivyo ni zamu ya Zanzibar kutawala.

Baada ya Mwinyi tunamuaanda kijana safi na mtanashati - Ridhiwani Kikwete

msiwe mnapenda kupima uwezo wa watu kutukana kwa kuandika uozo kama huu!
 
]

nafikiri ungesema sina haki ya kumkataa hussein mwinyi ..kwa kuwa yeye si ALI HASSAN MWINYI...OTHERWISE kusema serikali enzi ya mzee mwinyi ilikuwa safarini SIDHANI KAMA HIYO MTU MWENYE AKILI ANAWEZA KUITA REDIO MBAO...it was obviuos!!!

PM...bado sikupingi juu ya Hussein Mwinyi,...Kuhusu Mzee ALI HASSAN ndo maana nikakwambia ulizonazo ni REDIO MBAO...Tafuta Cassete au Video wakati Mzee Mwinyi analiaga Bunge ujue wakati anaingia Madarakani na wakati anatoka kulikuwa na Nini ktk Hazina ya Nchi...

Pia Tafuta Toleo#1 za RAIA Mwema lilivyoomba Radhi mzee Mwinyi kwa yale waliokuwa wakiyafanya watu wa Magazeti ktk kuipakazia Serikali ya Mzee Mwinyi...

Wafuasi wa Mwalim Nyerere walikuwa mstari wa Mbele kuupiga vita utawala wa Mwinyi, Kila siri ikizungumzwa Ikulu tayari Mwalim Nyerere Anayo...na Ndio maana hata matokeo ya nani afuate after mwinyi, matokeo yalikuwa influenced na Mwalim Nyerere...
 
huyu hana lolote, tena hana utaifa tuoutaka, ni mmojawapo wa watanzania wachache waliochenga kwenda JKT,wakati , yeye baada ya kumaliza form six alitokomea uturuki akijua wazi kuwa asingeweza kujiunga na vyuo vya hapa nchini licha ya pass zake hafifu pia hakuwa amekwenda jkt

mnamo 1990, aliyekuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi (sasa daruso)wakati hou akiichachafyaa sana serikali ya mwnyi alilkuwa matiko matare(nasikia sasa marehemu), huyu alikuwa amemaliza diploma ya ualimu huko korogwe chuo cha elimu. kwa bahati wakati huo akawa amejiunga na udsm.
wakati fulani ukasukwa mkakati kuwa afukuzwe chuo kwa kuwa hakuhudhuria JKT. WAKATI huo waziri wa elimu alikuwa jackson makweta. matiko matare akakamatwa kwa amri ya warioba the then prime minister. tuliposikia habari hizo tulienda kwa makweta tukamwambia kuwa tulikuwa tayari matiko asimamishwe masoma na aripoti jkt LAKINI SHARTI NA HUSEIN ALI HASSAN MWINYI ALIYEKUWA UTURUKI NAYE ARUDI WAENDE JKT PAMOJA NA MATIKO MATARE. makweta akatuomba tumpe muda na kuwa angetujibu kesho yake.tuliporudi jioni pale udsm, tukamkuta matiko matare wameshamwachia. na tangu wakati huo kamatakamata ya wale waliochenga JKT haikuwahi kusikika tena!!!!

Matiko Matare YUKO HAI hajafa! Kwenda JKT wakati huo na hadi sasa ni kwa MUJIBU WA SHERIA ya Nchi iliyolianzisha Jeshi hilo. Mzee Mtikila hawezi kumshitaki Dr Hussein Mwinyi kwa kukwepa kwenda jeshini?
 
Mbona tulisha mkataa huyu hapa vp tena?Mjadala wa nn tena hapa??Huyu tulisha sema hafai kabisa hapa tuache marumbano.
 
we don't want presidential monarchy in Tanzania. spare us please
 
Huyu kijana safi hana ufisadi hata kidogo, kama umemsikia kwenye kashifa yoyote ile useme.

2015 - Hussein Mwinyi
2025 - Ridhiwani Kikwete
2035 - Kama kuna mjukuu wa Karume atapewa nafasi hapa

2035 - Binti wa Karume yule mwanasheria machachari kabisa atakuwa raisi wa kwanza mwanamke kuiongoza Tanzania ..... waoooooo!
 
je ina maana kizazi cha viongozi wa ngazi gani kisijadiliwe kuwania uraisi?
watoto wa mariasi wa zamani tu au kuna watoto wengine?
Je wajukuu?
 
je ina maana kizazi cha viongozi wa ngazi gani kisijadiliwe kuwania uraisi?
watoto wa mariasi wa zamani tu au kuna watoto wengine?
Je wajukuu?

hao wengine hawafai, si umesikia msemo leaders are born by leaders?
 
Exactly,

Yaani baada ya Kikwete, unarudisha ngoma zanzibar na unamweka Dakitari wetu Mwinyi akiongoza sambamba na Ndugu yake Karume kule Zanzibar, baada ya hapo, ngoma inarudi bara kwa kijana safi na mtanashati Ridhiwani wa Kikwete. watu weweeeeeeeeee!

Mambo ya triple play hayo if you know what I mean

Masaka,

Unatia hasira mpaka inabore, May be wewe ni one of HM patients!!! Admin funga huu mjadala jamaa wanatupotezea muda wetu bure!!!!
 
Masaka,

Kikwete hana ubavu wa kusafisha CCM nadhani unaweza kushuhudia wana-CCM wanavyokitia aibu chama chao kwa mambo machafu wanayofanya ya ufisadi. kama angekuwa Mwenyekiti strong na mwenye ushawishi ilikuwa jukumu lake kukishawishi chama wale wote waliotuhumiwa kwa ufisadi waondolewe ndani ya chama...We si umesikia juzi NEC imefanya kikao chake Dodoma na kuwa kuanzia Lowasa mpaka akina Karamagi walijiuzuru kulinda maslahi ya chama lakini shutuma dhidi yao zilikuwa feki...kudadadeki feki???

Achana na Hussein Mwinyi time will tell tutatoka na vichwa vilivyotulia vinavyoweza kuongoza nchi si kama Hussein Mwinyi na hayo mambo ya zamu ya bara na visiwani sijui mliyapata wapi?? Mbona katoka Mkapa ameingia Kikwete kwani Zanzibar haipo tena???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom