Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

Status
Not open for further replies.
Dr Mwinyi alishasema anautaka urais wa Zanzibar 2010. Au unataka afanye exactly kama baba yake - yaani baada ya Zanzibar aje kuwa rais wa Tanzania nzima!!!!!!!

Watanzania wako wengi (mamilioni). Mbona huyu hatumsikii akipiga vita ufisadi! Si mwenzetu, Si afadhali Makongoro Nyerere anasikika akifurukuta. Kama ni lazima kwako rais atoke miongoni mwa watoto wa marais wastaafu!
 
Huyu kijana safi hana ufisadi hata kidogo, kama umemsikia kwenye kashifa yoyote ile useme.

2015 - Hussein Mwinyi
2025 - Ridhiwani Kikwete
2035 - Kama kuna mjukuu wa Karume atapewa nafasi hapa

kwi, kwi, kwi mbona umewasahau kwa makusudi watoto wa mwalimu
na bwm? au utasema watoto wa bwm hapo kwenye siasa, lakini kama
dili ni uraisi nadhani miaka 7 na zaidi yatosha kuingia kwenye siasa kwi, kwi kwi
ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.
 
Hao kina Masha na Membe wataendelea kuwa mawaziri au watapewa vitengo maalumu vya ulaji kidogo watulie. Kwa sasa mambo yote ni kwa Hussein Mwinyi maana hata hivyo ni zamu ya Zanzibar kutawala.

Baada ya Mwinyi tunamuaanda kijana safi na mtanashati - Ridhiwani Kikwete

Naamini hicho kipindi kilishaisha, hakuna mambo ya This time Prezidaa kutoka mainland or Zenji.
 
Hayo maendeleo anayosema Mkuu Masaka kuletwa na Mh. Mwinyi sijui ni yapi. Watu wanahitaji REKODI na si LONGOLONGO. Taja hayo maendeleo na watu watajadili ukweli na si kuleta triki za Uhuru na Mzalendo hapa.
 
Huyu Mwinyi naye ni fisadi tu. Aeleze alilipataje lile jengo la apartments pale Sea View.
 
Huyu Mwinyi naye ni fisadi tu. Aeleze alilipataje lile jengo la apartments pale Sea View.

Mmmh haya makubwa, sijui kama hilo nalo aliorodhesha kuwa ni mmoja ya mali yake. Ile Tume ya Maadili inatakiwa ijibu hili. Naamini wana JF mna dataz kuhusu huyu jamaa. Kipindi chake kilitawaliwa na baba yake, hivyo siamini kama atakuwa na hilo wazo la kugombea Uprezidaa Muungano ingawa kuna nyeti kuwa anaandaliwa kuchukuwa Zenji baada ya Karume. Mmmh sijui Dr. G. Bilali watampeleka wapi. Yetu macho na masikio.
 
Nchi sio mahali pa kufanyia majaribio ya kuongoza kama huyu anataka aonyeshe kuwa anaweza walau huko aliko wizara ya ulinzi tuone japo jambo moja la maana analolifanya .

Tunasubiri ripoti ya ndege ya jeshi iliyoanguka ndipo tuone kama anawezaa kuchulkua hatua ama laa
 
Huko CCM wako wengi wa aina hiyo. Wanaojiita wasomi wasomi kumbe hakuna kitu. Msomi wa aina gani huyu? au unaona hiyo Dr unadhani ina kitu?
 
huyu hana lolote, tena hana utaifa tuoutaka, ni mmojawapo wa watanzania wachache waliochenga kwenda JKT,wakati , yeye baada ya kumaliza form six alitokomea uturuki akijua wazi kuwa asingeweza kujiunga na vyuo vya hapa nchini licha ya pass zake hafifu pia hakuwa amekwenda jkt

mnamo 1990, aliyekuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi (sasa daruso)wakati hou akiichachafyaa sana serikali ya mwnyi alilkuwa matiko matare(nasikia sasa marehemu), huyu alikuwa amemaliza diploma ya ualimu huko korogwe chuo cha elimu. kwa bahati wakati huo akawa amejiunga na udsm.
wakati fulani ukasukwa mkakati kuwa afukuzwe chuo kwa kuwa hakuhudhuria JKT. WAKATI huo waziri wa elimu alikuwa jackson makweta. matiko matare akakamatwa kwa amri ya warioba the then prime minister. tuliposikia habari hizo tulienda kwa makweta tukamwambia kuwa tulikuwa tayari matiko asimamishwe masoma na aripoti jkt LAKINI SHARTI NA HUSEIN ALI HASSAN MWINYI ALIYEKUWA UTURUKI NAYE ARUDI WAENDE JKT PAMOJA NA MATIKO MATARE. makweta akatuomba tumpe muda na kuwa angetujibu kesho yake.tuliporudi jioni pale udsm, tukamkuta matiko matare wameshamwachia. na tangu wakati huo kamatakamata ya wale waliochenga JKT haikuwahi kusikika tena!!!!

..aliyekimbia kujiunga JKT kwa MUJIBU WA SHERIA leo ndio WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA...du ..tanzania kila kitu kinawezekana...na bado kuna wanaofikiria anaweza kuwa RAIS..

...IF SO ..basi Capt.CHARLES MAKONGORO NYERERE for PRESIDENCY 2015...kwani afadhali huyu pamoja na baba yake kuwa rais ALIENDA KUPIGANA VITA VYA KAGERA UGANDA ..TENA MSTARI WA MBELE...

..naamaanisha tanzania is not a ROYAL STATE kama ZANZIBAR....!!...NDIO zanzibar ni nchi ..MEMBE ALISEMA !!!
 
Tanzania ni nchi tamu sana, eti mtu alikimbia JKT halafu sasa hivi ni Waziri wa Ulinzi na JKT. Mmmh hiyo ni tamu kweli. Mie sidhani kwenye mind yake anafikiria Uraisi, atajibu vipi hilo swali. Unataka uraisi wakati shughuli za JKT ukakimbia...... Tutasubiri na tutasikia kweli anataka uraisi. Siku hizi zijazo hakutakuwa na name recognition, sijui Nyerere, Mwinyi, Karume, Lowassa, Ndolanga sijui nani.......... Kitu cha muhimu ni REKODI ZAKO KWA JAMII, Full STOP. Ulipewa dhamana na wananchi hukuitumia vizuri, basi muda wako umepita. Neeexxxt.
 
Wote ni ma-opportunists tu. Hamna lolote. Hata urais wa Zanzibar hafai. Huko katika wizara ya ulinzi amefanya nini mbali na kununua mahelikopta chakavu ambayo kila kukicha yanaua watu?
 
Wote ni ma-opportunists tu. Hamna lolote. Hata urais wa Zanzibar hafai. Huko katika wizara ya ulinzi amefanya nini mbali na kununua mahelikopta chakavu ambayo kila kukicha yanaua watu?

Jasusi helikopta zilinunuliwa na Kapuya kama sikosei .Ila kwa Hussein na rekodi hana hata moja mbali ya kuwa mtoto wa rais mstaafu .
 
Anaesema Mwinyi alileta maendeleo enzi za ruksa nafiri kipindi hicho alikuwa ni mtoto na kujui mambo yalienda vipi hivyo anajisemea eti mwinyi alileta maendeleo wakati uchumi ulikuwa umesianyaa inflation rate 34%.

Kweli watanzania wengi kunaenda kwa hisia na kubabia hivyo si ajabu lowassa au chenge wakikaa kimya kwa miaka walau mitano wakagombea Urais mmmoja wao anaweza kupewa na tukamtukuza kwamba wakati akiwa waziri alikuwa mahiri na mtendaji kazi mzuri SANA
 
Watanzania hawajali maisha ya Taifa ila maisha ya mtu mmoja mmoja , they lack education so They cannot keep records.Wanapenda kuzima moto na kuleta ushabiki kwa kila jambo bila kujiuliza madhara yake .Siwalaumu maana ndiyo mazingira waliyo tengenezewa na CCM.So tuendelee kuwaamsha na sisi kutunza kumbukumbu kwa ajili ya ref siku za usoni .
 
Anaesema Mwinyi alileta maendeleo enzi za ruksa nafiri kipindi hicho alikuwa ni mtoto na kujui mambo yalienda vipi hivyo anajisemea eti mwinyi alileta maendeleo wakati uchumi ulikuwa umesianyaa inflation rate 34%.
...

kwi, kwi, kwi, wakati huo bana tulikuwa tunakunywa "stella atois" kwa bei ndogo kulipo iliyokuwa inauzwa ulaya kwi, kwi, kwi

lakini hebu subiri, bia hizo zilitoweka baada ya ahm kuacha uraisi na kuna wambeya walikuwa wanadai aliyekuwa na tenda ya kuziingia hizo bia nchini alikuwa mamsap na alikuwa akisamehewa kodi hivyo ndio maana zikama na bei poa. nasisitiza yalikuwa maneno ya mtaani sina ushahidi
 
Na hiyo Stella Atois si mliletewa na Mama Sitti? Mjasiriamali wa kwanza aliyeanzisha biashara akiwa Ikulu? Mmesahau na majenereta ya umeme?
 
Fuatilia utayaona mkuu, maendeleo nchi nzima hadi inafurahisha. Si umeona hata wageni wanaisifia Tanzania. Bajeti safi na kila kitu salama tu. Tujenge nchi ndugu yangu haya mengine ya kupiga makelele tuwaachie kina Mrema.

Bwana/Bibi Masaka,

Inaonekana kuwa wewe ni kada mzuri sana wa CCM, lakini kwa bahati mbaya huijui CCM vizuri kwa kina. CCM ina wenyewe na hao wenyewe sio Nyinyiem. Kuna kiapo Rais wa mwanzo na wa mwisho kutoka Zanzibar ni Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Hakuna cha zamu ya Zanzibar. Hilo la zamu halijaandikwa katika katiba ya CCM wala katika katiba hii iliyojaa viraka ya Tanzania. Ile ya zamu ilishakufa na waasisi wa Muungano Nyerere na Karume Snr.

Chagua MwanaCCM mwingine kutoka Tanganyika atakae kuwa Rais 2010.
 
kwi, kwi, kwi, wakati huo bana tulikuwa tunakunywa "stella atois" kwa bei ndogo kulipo iliyokuwa inauzwa ulaya kwi, kwi, kwi

lakini hebu subiri, bia hizo zilitoweka baada ya ahm kuacha uraisi na kuna wambeya walikuwa wanadai aliyekuwa na tenda ya kuziingia hizo bia nchini alikuwa mamsap na alikuwa akisamehewa kodi hivyo ndio maana zikama na bei poa. nasisitiza yalikuwa maneno ya mtaani sina ushahidi

Swala siyo kunywa stella artois, ila kuangalia masilahi ya nchi na watu kwaujumla. Biashara ya IKULU ilianza kwa mwinyi. Naamini kama unakumbukumbu utajua nchi kiuchumi ilukuwa inadidimia, unchumi ulikuwa unaelekea usawa wa uchumi wa zimbabwe ila siyo kama ilivyo zimbabwe kiutawala au uchumi (usilewe vibaya). Sitegemei mchumi au mtu wa kuchambua atasifia uchumi enzi ya mwinyi. IN COMPARISON na Mkapa uchumi kipindi chake ulibadilika na kuwa mzuri kwa kuweka msingi mzuri sana TATIZO LA MKAPA ufisadi wake na watu wake. INAMAAN kama angeendelea kuwa MR.CLEAN na kupinga ufisadi kwa dhati hali ya nchi ingekuwa nzuri sana sana kiuchumi kuliko ambavyo tunaona kwa kulinganisha na utawala wa Mwinyi
 
Bara- bara. sawa- sawa. Hata Zenji tumchague Ali Karume na baadae arudi Abeid Karume.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom