Wewe unataka kuanzisha ugomvi kwa kusema hivyo,ati Hussein Mwinyi awe Rais 2015. Unasema hivyo wakati huu ni wakati ambao mabomu yamelipuka Mbagala,watu 26 wamekufa,zaidi ya 100 wamejeruhiwa,kuna viziwi lukuki,na huyu Hessein Mwinyi ndiye Waziri wa Ulinzi sasa hivi.
In fact,it is safe to say kwamba ikiwepo reshuffle sasa hivi,huyu mtu atatolewa pale kutoka kwenye ile wizara.
Watu wanaambiwa,Mkisikia mabomu yanalipuka,msiwe na wasiwasi,ni wanajeshi wanafanya usafi. Watu wanasikiliza,hawana wasiwasi wowote,they just pass out,they faint.
Mambo yote haya yanaletwa na udikteta. Ilianza na zile ndege. Unawaambia watu,mkiziona ndege zinapita anga ya chini,msiwe na wasiwasi,bila kuwaambia kwamba kama kuna matatizo piga simu namba hii.
Hili jambo ni a very,very great tragedy,nashindwa kuelewa wewe umethubutu vipi kusema kwamba Hussein Mwinyi anaweza kuwa Rais 2015. Hii ni tragedy on the scale of the sinking of MV. Bukoba,au ile ajali ya treni ya Dodoma,ambayo ile ajali Frederick Sumaye aliwalipa waliofiwa,tanzanian shillings 50,000. Tuone hawa watalipwa fedha kiasi gani.
This is a greatt tragedy. Siku chache baada ya Rais kuapishwa,wajenzi walikuwa wanaweka finishing touches kwenye jengo Temeke,halafu lile jengo likaanguka. Very funny,I thought at that time,like a scene from a Charlie Chaplin movie. Was it a portent of things to come?
The least thing now that the President can do is to remove him from that Defence Ministry. Ndio Mkapa wakati ule alisema,kama nawachagua mawazri hiki kipindi cha pili,I want them to hit the ground running. That was said not without reason. Kwa sababu ile ajali ya m.v. Bukoba ilitokea two weeks baada ya yule waziri kuteuliwa,yaani angeweza kusema hakupata muda wa familiarization.
Lakini there is one strange thing in this accident,which was not planned by anyone. Mabomu yamelipuka imekuwa kama ni celebration ya 100 days of Obama in office,because it happenned on the same day,on Wednesday.