Dr Hosea avunja ukimya kuhusu ripoti ya ESCROW

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,026
Reaction score
20,511
Mchana wa leo kwenye Kongamano la TAPAC kuhusu rushwa kwa nchi za SADC , DR Hosea kavunja ukimya kujibu swali la mwandishi wa Tanzania Daima aliyetaka kujua hatma ya report ya ESCROW.

Dr HOSEA AMEJIBU KWAMBA YEYE ALIKWISHAMALIZA UCHUNGUZI NA AMEKWISHA KABIDHI REPORT KWA WAZIRI MKUU KWA MUJIBU WA UTARATIBU.
WAKATI HUO HUO KAMATI YA PAC IMEMSHAMBULIA VIKALI LEO KWENYE KIKAO KAIMU CAG BW MWAKAPALILA KWA KUZEMBEA KUKABIDHI RIPOTI WAKATI OFISI YAKE ILIOMBA SIKU 45 TANGU MACHI 20.2014. HABARI ZA UHAKIKA ZINAONESHA KUWA REPORT YA CAG ILIKUWA TAYARI TANGU UTOUH ASTAAFU NA NDIO SABABU SPIKA MAKINDA KATIKA SHEREHE ZA KUMUAGA UTOUH ALISEMA KUWA REPORT YA UFISADI WA IPTL KWENYE ESCROW AKAUNT INGESHAANGUSHA MAWAZIRI KADHAA KAMA PASINGEKUWA NA BUNGE LA KATIBA LILILOKUWA LIKIENDELEA.

KAIMU CAG ANATUHUMIWA KUELEKEZWA NA BAADHI YA VIGOGO WA USALAMA WA TAIFA WENYE MASLAHI NA WIZI HUU KWAMBA AANDIKE UPYA RIPOTI HIYO KWAMBA AKIFANIKISHA WATAMPIGIA CHAPUO AWE CAG KAMILI HATA KAMA UMRI HAURUHUS
 
Yaani mtuhumiwa mkuu ni Pinda halafu huyo huyo kakabidhiwa report?kwa nini haikupelekwa bungeni maana bunge ndiyo msimamizi wa serikali
 
Hajawekwa rumande na yeye?Ingebidi na yeye awafuate wale wenzie wa TPDC.
 
Ila hii nchi,bora kupigana ili tuheshimiane,nikifa mimi poa tu maana siwezi kuishi milele katika uso huu wa dunia, inauma sana kwa kweli.
 
Duh, kwa hiyo pinda mtuhumiwa mkuu kapewa ripoti! Duh watanzania maigizo haya mpaka lin?
 
Yaani mtuhumiwa mkuu ni Pinda halafu huyo huyo kakabidhiwa report?kwa nini haikupelekwa bungeni maana bunge ndiyo msimamizi wa serikali

inategemea labda na utaratibu wa uwasilishaji wa ripot kwa serikali.
 
Unaeandika kuhusu CAG sina hakika Kama unataarifa za kutosha na hawajui vizuri Utouh na Mwaka
 
Back
Top Bottom