Dkt. Hastings Kamuzu Banda: Haya ni kweli kumhusu?

Hata mm nilishayasikia hayo, isipokuwa ni uzushi kwani mgonjwa hatibiwi na Dr mmoja bila ya nesi.
Sasa wazungu watamwachaje Banda na Malkia :doh:
 
Kwa miaka ile uvumi huu ulivyoenea ilikuwa ni kweli kabisa, kwa sababu huo ndio ulikuwa mwisho wa uwezo wetu wa kufikiri............
 
Hizi habari zina dalili zote kuwa ni za kutunga na kuunganisha unganisha, kwa hiyo ni za uongo na uzushi tu
 
Habari hizi zinaweza kuwa ni za kutungwa ili zilikuwepo. Watungaji sio sisi.

Nilichosikia mimi ni hivyo hivyo kuwa Hastings alikuwa the best gyno na ndie alikuwa gyno wa qeen.

Kabla haja muatend alikuwa akipigwa nusu kaputi ili kutunza usalama wa malkia. Sasa kuna siku kiwango kilizidi hivyo kumfanya jamaa akawa importent.

Ili kumpooza ndipo Malkia akampa zawadi koloni lake la malawi. Ndipo akatafuta jina la Kiafrika la Kamuzu Banda! na kujiita rais wa maisha.

Hakuzaliwa Malawi, hakuwa Mmalawi, hakuzungumza lugha yoyote ya kiasili ya Malawi zaidi ya Kiingereza, alikuwa na mke zuga ila hakuwa na mtoto. Hakuna kumbukumbu zozote za kihistoria kuonyesha Hasting alizaliwa wapi na asili yake ni wapi bali alikuwa mtoto wa familia ya waliokuwa watumwa huru.

Mimi niliwahi kutembelea kaburi lake liko nje kidogo ya jiji la Lilongwe!.

Ukiondoa Jo Burg na Cape Town, Lilongwe ndio mji uliojengeka kwa modern planning kuliko mji mwingine wiwote barani Africa South of Equator,
 
Mkuu hamna lolote hayo ni mazungumzo baada ya habari, tulisikia mengi sana kama Nduli, Kaburu na yeye kuwa punga hii ni kutikana na kutokuelewana kiitikadi na Saint Nyerere
Haiyumkiniki kwa Malkia kutibiwa na dokta mmoja hata huyo raisi wetu wa bongo hatibiwi na dokta mmoja
 
Habari hizi zinaweza kuwa ni za kutungwa ili zilikuwepo. Watungaji sio sisi.

Nilichosikia mimi ni hivyo hivyo kuwa Hastings alikuwa the best gyno na ndie alikuwa gyno wa qeen.

Kabla haja muatend alikuwa akipigwa nusu kaputi ili kutunza usalama wa malkia. Sasa kuna siku kiwango kilizidi hivyo kumfanya jamaa akawa importent.

Ili kumpooza ndipo Malkia akampa zawadi koloni lake la malawi. Ndipo akatafuta jina la Kiafrika la Kamuzu Banda! na kujiita rais wa maisha.

Hakuzaliwa Malawi, hakuwa Mmalawi, hakuzungumza lugha yoyote ya kiasili ya Malawi zaidi ya Kiingereza, alikuwa na mke zuga ila hakuwa na mtoto. Hakuna kumbukumbu zozote za kihistoria kuonyesha Hasting alizaliwa wapi na asili yake ni wapi bali alikuwa mtoto wa familia ya waliokuwa watumwa huru.

Mimi niliwahi kutembelea kaburi lake liko nje kidogo ya jiji la Lilongwe!.

Ukiondoa Jo Burg na Cape Town, Lilongwe ndio mji uliojengeka kwa modern planning kuliko mji mwingine wiwote barani Africa South of Equator,

Pasco,Kwa hili nakubaliana nawe kabisa. Lakini Lilongwe ulijengwa na makaburu miaka ile ya siasa za kibaguzi. Banda had an alliance with the boers.
Hata hivyo tukirudi kwenye hii hadithi, kuna ukweli wowote au ni story tu za kupikwa? What was he doing with Madam Kadzamira, his long time mistress and supposedly first lady during his tenure in the office?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hata mimi hizi story nilizisikia sana enzi za yule babu akiwa bado madarakani akisaidiwa na dada mmoja Secilia Kazamila, ambaye hakuwa mkewe, ila ukweli wake hasa hata mimi siujui ila JF kwa kuwa ni jukwaa kubwa anayejua ukweli wa hili atujuze basi.
 
Nimeangalia historia yake kwenye Google wanasema kweli hakuoa ili hawatoa sababu yoyote ila aliwahi kuwa na uhusiano na mwanamke wa Kiingereza ambaye inadaiwa walipata mtoto lakini mtoto huyo hatajwi. Ila anatajwa Jumani Johanson kuwa anadai kuwa mtoto wake ambaye anadaiwa afanyiwe kipimo cha DNA kuthibitisha hilo ils mpaka sasa kesi iko mahakamani. MASUALA YA KUWA GYNO & OBSTETRICIAN WA QUEEN SIJAYAONA LABDA KWA KUWA NIMESOMA HARAKA HARAKA. Kwa hiyo naamini habari hizo zilikuwa ni za kutunga tu.
 
Back
Top Bottom