Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...

Sasa ulitaka asiwajaze "wenzake" awajaze wenzako? Unanshagaza!
Nilijua thread za mwelekeo huu wa MWENZETU lazima zikuibue tu. Kweli hii ni laana kubwa.

Akitajwa tu huyo jamaa yako au hao WENZAKO lazima uchomoke huko mafichoni, sijui huwa unakereketwa na nini!!!
 
Katika uteuzi kuna taratibu, majina matatu yalienda ikulu lake likarudi. Costech ilioza ilihitaji changes watu wakarudishwa ktk kazi zao za awali vyuoni.
 
Nilijua thread za mwelekeo huu wa MWENZETU lazima zikuibue tu. Kweli hii ni laana kubwa.

Akitajwa tu huyo jamaa yako au hao WENZAKO lazima uchomoke huko mafichoni, sijui huwa unakereketwa na nini!!!

Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Jibu mada achana na mimi.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 

Saidi mwema ni mchaga acha kutuhadaa
Kwa kuongezea pia familia yake na JK zimeoleana hivyo JK ana uswahiba naye
 
Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Jibu mada achana na mimi.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Shein kashinda kwa 91.4%, bado unao mpango wa kuendelea kuwa Kada wa CCM au unakuja huku CUF.
 
Kulikuwa na Hadithi hii kwa muda mrefu sana. Baadaye nimeambiwa jamaa huyu Mshinda kisha pigwa nje ya ofisi. Kuna waliomtetea na leo hii nimekutana na mmoja wao, ndiyo nikakumbuka uzi huu. Je, baada ya kukaa ofisi hiyo kwa miaka yote hiyo, alileta jipya??

Nionavyo mimi serikali inapotoka. Inaamini uongozi wa taasisi kama hizi ni kutafuta yeyote aliye ngazi za juu na kumuweka. Ni makosa! Tunataka mtu anayeweza kuongoza na siyo anayetaka kuongoza. Mtu ana elimu feki kama huyu, anapewa kushika taaisisi ya kitaifa!
 

Wafanyakazi wa COSTECH 15 walioondolewa, watakuwa replaced na wengine ambao ni chaguo lake DG Dr. Mshinda.
.............Nimewaza tu lakini...........
 
Kama ni kweli Dr Mshinda ameondoka COSTECH kwa sababu tofauti na kustaafu, yatakuwa ni yaleyale ya roho tunazozipinga hapa.
 
Wangazija wanatoka Comoro sio Seychelles.. Excuse me !
 
Sasa wewe kama rafiki ulitegemea akuletee fitina gani kwa mfano!?
 
Wangazija wanatoka Comoro sio Seychelles.. Excuse me !
Hayo mambo ya Comoro sijui wapi, lakini ninavyomfahamu Dr Hassan Mahmoud Mshinda ni mpare. Sasa kama kuna wapare waliotokea Comoro ni sawa tu, maana watanzania wengi walitokea mahali fulani Africa au nje ya Africa.
 
Huyu mwanawe pia kaolewa na miraji kikwete
 
Mojawapo ya kazi zake.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…