Acha uongo na chuki binafsi...namjua Dr. Hassan Mshinda personally kama rafiki na pia likuwa boss wangu!
Google profile ya Dr Hassan Mshinda halafu niambie kama katika 'top ten' ya scientist wa Tanzania hatakuwepo! He is a PhD holder, Malariologist, research guru, with hundreds of research publications in 'internationally accredited' journals. Ana awards nyingi tu katika uwanja wa research kutokana na kazi zake katika malaria.
Dr Mshinda hana undugu wowote na Saidi Mwema....Said Mwema ni mkwe're wa kutoka kijiji cha Mwetemo Bagamoyo (kati ya Kiwangwa na Msata), Dr Mshinda ni mNgazija toka Shelisheli (Seychelles), hapa Tanzania alihamia akasoma, akaoa, akazaa, na anafanya kazi brilliantly.
Utendaji kazi wa Dr Mshinda ulimvutia JK wakati alipokuja Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) Dr Margareth Chang, Chang mwenyewe alisalute kazi kubwa iliyofanywa na Ifakara Health Institute chini ya Dr Mshinda akiwa mkurugenzi, kiasi kuna guidelines kadhaa za WHO zimekuwa developed kufuatia tafiti za IHI. Hata waziri wa Afya wa sasa Dr Hadji Mponda ametokea IHI naye akiwa na tafiti na publications nyingi tu za malaria.
Kama ana mapungufu mengine hapo COSTECH jaribu kujenga hoja kwa hayo...lakini usisingizie alibebwa kupewa post hiyo kwa uswahiba wa kuunga na gundi kwa JK.
chonde chonde msituharibie jamvi ligeuke sehemu ya majungu, Dr Hassan Mshinda ni mmoja kati ya wana sayansi wachache ambao tunajifunia. namfahamu kidogo Dr mshinda, naomba niwaambie kitu ambacho labda hamkijui. mimi binafsi ofisi yangu ipo hapa jengo la costec
Dr hassani ameingoza ifakara health center kwa mafanikio makubwa sana na wakati huo huo costech ilikuwa chini ya mwanajeshi jeneral cohi , hakukuwa na lolote la maana, watu wengi sana walijaa maofisini nafasi moja watu wawili mpaka watatu, jaribu kufikiri bosi mmoja alikuwa na sekretari wawili, jaribu kufikiri
upande wa account kulikuwa na watu kumi na mbili jaribu kufikiri
vijana wanaofanya usafi zaidi ya kumi na tano na wakimaliza usafi asubuhi basi wanakuwa wapo wapo tuuuuuu mpaka tena kesho
kwa ufupi ofisi ilikuwa inaboa sana watu wanaacha makoti asubuhi then wako kwenye mishe mishe, sasa alipokuja Dr mshinda kapunguza nafasi zisizo na ulazima, mfano akapunguza watu wote ambao walikuwa na elimu ya darasa la saba zaidi ya watu 30 walipungua unaweza pata picha kulikuwa na kusanyiko la aina gani.
then akapunguza nafasi zote ambazo zilikuwa zinashikiliwa na watu zaidi ya wawili. na kwa muda wa miaka mitatu aliyokaa ameweza kurekebisha mahali hapa hata nidhamu ya kazi imerejea sana tu.
na juzi hapa mfuko wa bill and gate wameahidi kutoa 100biln kwa ajiri ya miladi ya utafikti hivyo dr mashinda anahitaji wataalam ili wakamilishe hii miladi , kwa sasa kuna vijana wadogo wengi zaidi ya 40 wengi ni fresh frm college wapo hapa wanapiga kazi, hawa wakurugenzi unaowasema hawaendani na kasi ya Mshinda ndio maana wamepelekwa huko wakaendelee kufika ofisini saa 4 na kusoma magazeti . mshinda anastahili pongezi sio lawama
Huyu mzee kwa .... na Udini ndiye mweneywe, Uliza pale Ifakara health Institute
kusema ukweli na mimi nasikia Mshinda ni kichwa. na nimeshahudhuria mikutano ambayo yeye ni mshiriki au facilitator. He is good technically. problem ambaye watu wanamuongelea ni UDINI, hilo nimelisikia hasa alipokuwa Ifakara Health institute.
Mwaga source and names plse..by the way hivi ni kweli kuwa our first lady ni mmachame!! kwani kinachofahamika ni kuwa IGP ni mchaga wa Machame.Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH.
Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15 wameondolewa pale kwa wakati mmoja. Hawa ni watu ambao walimkaribisha Dr. Mshinda pale COSTECH na kumfundisha kazi miaka 3 iliyopita. Leo hii ameota mapembe na kuwafanyia fitna. Na sasa wakurugenzi hawa wameenda kupewa "desk" tupu katika wizara nyinginezo.
Sasa sijui amefanya hivyo kwa kusudio gani?....Kwa sababu, kuwafukuza wakurugenzi 15 kwa mpigo kuna walakini!! Isitoshe huyu jamaa aliingia COSTECH akiwa ha-qualify kabisa na hiyo post a U-DG. Alipachikwa kwa kupitia memo tu...
By the way, Dr Mshinda ni cousin (au nephew) wa IGP Said Mwema, ambaye ni Shemeji wa Kikwete go figure !!
Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH.
Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15 wameondolewa pale kwa wakati mmoja. Hawa ni watu ambao walimkaribisha Dr. Mshinda pale COSTECH na kumfundisha kazi miaka 3 iliyopita. Leo hii ameota mapembe na kuwafanyia fitna. Na sasa wakurugenzi hawa wameenda kupewa "desk" tupu katika wizara nyinginezo.
Sasa sijui amefanya hivyo kwa kusudio gani?....Kwa sababu, kuwafukuza wakurugenzi 15 kwa mpigo kuna walakini!! Isitoshe huyu jamaa aliingia COSTECH akiwa ha-qualify kabisa na hiyo post a U-DG. Alipachikwa kwa kupitia memo tu...
By the way, Dr Mshinda ni cousin (au nephew) wa IGP Said Mwema, ambaye ni Shemeji wa Kikwete…go figure…!!
Kwa wafahamu IHI - Ni yapi MAFANIKIO yake dhidi ya Malaria? Maana mpaka sasa Malaria ni ugonjwa unaoua sana especially under 5!
Mshinda has to go. Tatizo lake sio Udini. ni jina lake. Ni Uislam.
Baada ya Dr Idrisa Rashid kuondoka Tanesco nadhani huyu anafaa kuwa next target. Kuna Dr Dau pia ila naona kawa mgumu licha ya makelele!
Unajua problem ya wagalatia wengi wa nchi hii hawataki kuamini kwamba wapo waislam waliosoma. Na ilivyo Muislam akipewa post ya juu anafanya kuweli. Maana hadi anafika hapo ujue kaingia kwa sifa. Hakuna kubewa huko. Tafakari kidogo.
Kibaya zaidi wagalitia hamuwahamasishi hao jamaa zenu kufanya kazi. Hebu angali huo mzigo uliowekwa pale Tanesco baada ya Dr Idrissa kuondoka. Tazama uharo aliofanya Balali pale BoT baada ya kuondoka Dr Idrissa. Tengeneza list ya mafisadi wa nchi uone imejaa kina nani!
Acheni kilialia wagala, fanyeni kazi!
Shame on you wavivu wa kufanyakazi na kufikiri. Mmeiua nchi kwa ubinafsi na sasa mnajenga chuki na wachapakazi kwasababu ya majina yao tu!!