Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,074
Machinga wa Ubungo wamepewa Sikh tatu wawe wameondoka....lahaula kundi lote lile la vijana kweli litaelekea wapi hatupingi maendeleo ila tu huo utaratibu wa maendeleo unaletwaje ndo shida muwe na vission na sisi vijana serikali mtuhurumie tuna hali ngumu sana.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hakuna kiongozi mwenye MIKAKATI yoyote ya kuwaokoa VIJANA wa Taifa hili. Zilizopo ni SIASA na POROJO hakuna msaada wowote, ukisema uwe MACHINGA unapigwa mabomu
Sent using Jamii Forums mobile app