Inawezekana ukawa sahihi kwa namna moja na usiwe sahihi kwa namna nyingine.
1. Watanzania wengi tunazaa pasipo kuwa na uwezo wa kuandaa future za watoto wetu,
Utakuta mtu ana watoto 10 ambao hawezi kuwafeed vizuri hivyo husababisha hawa
watoto akili zisiwe sawa kwa kukosa lishe bora, unawatoto 10 ambao wakimaliza la
saba huna pakuwapeleka au chakufanya zaidi ya kuwaacha tu nyumbani na uwezo
kuwafeed huna pia. Ni vizuri watanzania tukawa na family plan, uzae watoto kulingana
na uwezo wako wa kuwafeed na kuwasomesha..
2. Serikali yeyote duniani ikiwa na watu wenye akili population kubwa huwa ni msingi wa
maendeleo kama itatumika vizuri. Serikali ya Tanzania imeshindwa kutumia idadi ya
watu kama msingi wa maendeleo kwa Taifa, population kubwa ni tafsiri kuwa
unanguvu kazi kubwa ambayo ukiitumia vizuri basi uchumi lazima ukue. Idadi ya watu
ni silaha ya maendeleo pia kwenye uzarishaji.
3. Tatizo la TRA ni uzembe wa Mamlaka iliyoandaa hiyo interview, huwezi kuita watu
15000+ kwenye interview inayohitaji watu 400, wastani wa interviewer 5 kila position
ulitakiwa uite 400x5 = 2000 tena sio kwa pamoja.. Siku hizi teknolojia hutumika
kupunguza idadi ya watu kwenye interview, self online test, phone interview, skype
interview baada ya hapo unawaita kwenye oral sasa.