Naomba madaktari waangalie ATN
1. Mtume amewaomba madaktari wasigome. Amewasihi kuwa waangalie wananchi maskini sio serikali. Wamwangalie Mungu na wasigome. Wasidhani wanashindana na serikali bali wanashindana na thinking zao maana wanashindana na serikali ya CCM ambayo ni kiziwi.
2. Ameitaka CCM ibadilike haraka sana mtazamo wa kutufanya watanzania ni wajinga. Watanzania sio wajinga. Wao wanajaza matumbo kwa mishahara na marupurupu mengi na kuacha maisha ya watanzania kwenye rehani. Wanawadanganya madaktari wanadhani ni wajinga, Mungu amesikia kilio cha madakatari atajibu kwa MOTO.
3. Amesema wale wote serikalini waliingia kutuibia, waache maana ameomba waondoke haraka maana kama mtumishi wa Mungu amesema wataondoka kwa nguvu ya Mungu mmoja mmoja. Wasome Yoel 15
4. Amewasihi, Rais, Waziri mkuu, Mawaziri na wote wenye madaraka kusikia sauti ya Mungu kuhakikisha huu mgomo haufanyiki sio kwa kuwatisha madaktari bali kwa kufuata haki.
More to follow