Hongera kwa ushindiDr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Hivi huyo Dr. Fenela alifanikiwa kushinda ubunge, sijapata matokeo yao.
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Kwa heri mnyika mnyika kauze nyanya
Dr Fenella na ushindi mnono
Mnyika ataipata fresh
Aanh mnyika hana jipya kibamba hawez kubaki
hadi wazee, hata wamama hasa maeneo ya kimara , kibamba na kwingine kote kwenye shida ya maji hawataki kumsikia mnyika, kwa anayenibishia aende site akaulize
Magufuli na Fenella ushindi mnono
Hivi Mnyika yupo?
Mnyika out
Dr FENELA kibamba ushindi ni wako
Huyu Dkt Fenella hana mpinzani kwani yule kijana wa ukawa hana jipya zaidi ya kukumbatia fisadi. Njaa mbaya
Kweli Kibamba hawataki kuckia habar ya mnyika mwaka huu analo.Dr.fenella ni shida Kibamba
Mnyika hafai hata ubalozi,nimuongo wakutupwa mbali.
Ushindi mnono kwa Fenela
Kampeni aliyofanya huyu mama siyo ya mchezo ; mtakujakushtuka na mnavuta shuka wakati kumekucha!! Mnyika hawamjui Kibamba kwani muda wote alipokuwa mbunge hakuwafanyia lolote hivyo wanasema wanataka mabadiliko!!!
Huyu mama yuko juu vijana watafurahia kumchagua
hakika mama mtendaji na wanakibamba wanalijua.
Makubwa!!Teh teh tehteh Kimya Mnyika kawatia dole
Mama yupo wapi siku hizi?Mama fenela anatosha kwa kibamba atosha
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Are you day dreaming! uchaguzi ushapita wa ubunge ni mpaka 2020, kule kuwa na wilaya mpya does not mean parliamentary election ila ni mayor wa wilaya mpya ya Ubungo, Kigamboni, Kinondoni na Temeke - I presume you have understood. Skuli ni muhimu.Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Mnyika anapaswa kuletewa wanaume sio hawa wanamama hawamuwezi. Walikuwa wanampa moyo tu.Nilikuwa napitia tu.Hongera kwa Dr.Fenella kwa kupata USHINDI mnono wa Ubunge wa Kibamba......ni kweli njia ilikuwa nyeupe sana sana....
Mnyika anapaswa kuletewa wanaume sio hawa wanamama hawamuwezi. Walikuwa wanampa moyo tu.