Eng.Livingstone
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 880
- 227
We upo Kibamba sehemu gani? Hapa ni Mnyika tu!
Dr fenela akipata 20% ya kura Mimi najitoa humu jamii forum .hakubaliki kabisa
Kampeni aliyofanya huyu mama siyo ya mchezo ; mtakujakushtuka na mnavuta shuka wakati kumekucha!! Mnyika hawamjui Kibamba kwani muda wote alipokuwa mbunge hakuwafanyia lolote hivyo wanasema wanataka mabadiliko!!!
Huyu mama yuko juu vijana watafurahia kumchaguaDr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM