Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 265
- 241
Dr, Feleshi jana umenifurahisha sana sana sana sana sana. Yaani umeeleza ukweli kabisa mbele ya Mh. Rais kuwa Makonda anachofanya sio utawala wa kisheria. Kuna clip Makonda anatrend ile mbaya yaani ana-cross-examine Mwanasheria mbela ya wanaCCM wenzake (sio wananchi wale bali wanaCCM wenzake). Basi Mwanasheria yule alipata ugumu sana kuelezea taratibu za kisheria ili Makonda aelewe. Basi ni bahati tu yule Mwanasheria hakutaka kuwa mtata - ingekuwa wengine - sijui ingekuwaje pale.
Dr. Feleshi jana ukachana live kuwa Makonda anachofanya sio sahihi - that is not a rule of law. Chama - tena Chama tu na wala sio Serikali wala bunge, kinaingia ndani - yaani kule ndani ndani ndani kabisa kuanza kuamua kesi za Mahakamani. Mbaya sana hii.
Siku ingine Makonda akamtaka eti Bashe akasimamie MaOfisa Kilimo - Du! Yaani kuna Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara, kuna RAS, MADED na viongozi wengine wa Kiserikali wanapaswa kufanya hilo lkin Makonda kamlenga Bashe - kama sio visa ni nini sasa. Yaani kamtaja kwa jina kabisa Bashe - angaalau hata angetaja kwa wadhifa basi. Makonda huyu huyu jamani.
Mie kimchepuko changu mwaka 2018 kilinipeleka kwa Makonsa eti nimegoma kukigharamia kikiwa na mwanangu - nikaitwa kwa Makonda Kinondoni - sikwenda na kwa tambo kubwa nikatangaza nisingeenda, na ukweli sikwenda na Makonda hakufanya kitu na mpaka sasa hajanifuata tena, na sijui limeishia wapi kwani ilinibidi sasa hata matunzo yake nistop mpaka hapa juzi nilivyoamua kwenda kumchukua mwanangu na kumleta kwangu na kumwacha huyo mchepuko ukihangaika kwa ujinga wake mpaka leo.
Prof. Ibrahim Juma - Mahakamani kwako nadharia ni nyingi kuliko vitendo. Mf. kesi moja ipo hapa Dodoma Chamwino - mbaba wa watu jirani yetu kule Chinagangali anasumbuliwa kila kona na shemeji yake eti kwa kuwa shemeji yake huyo hakuzaa na mdogo wake. Limama hilo toka Kigoma linapiga ndumba na kuhonga isisvyo kawaida. Kuanzia Baraza la Ardhi huyo mama alihonga kesi ikasikilizwa upande mmoja na Mahakama ya Mwanzo akamlambisha tena Hakimu wa pale na uamuzi ukatoka pale ukiwa na mambo ambayo hata pande zinazogambana hazikusema. Yaani kesi hiyo ipo wazi na inavuta sana hisia yule baba asingekuwa mtu wa Mungu angeshazirusha ngumi nyingi sana Mahakamani. Kwa kifupi sana, nikiacha pembeni, kesi zingine Prof. Juma ujue tu Mahakama yako ni chafu sana, angalu hata ungewalipa vizuri basi ili waache kukimbiza rushwa kwenye makorido ya Mahakama.