Dr Edward Hoseah: Hakuna Mtanzania Aliyehusika na Ufisadi Katika Ununuzi wa Rada!

Hivi kweli hii nchi usimamizi na uzalendo havipo tena..

Raia wa Uingereza wameona uozo wa ununuzi wa rada wakalalamika hadi kwenye bunge lao, sisi huyu mjinga anasema hakuna rushwa kwa nini???

Je Nani alifanya procurement ya hii rada?
Je nani aliidhinisha mkataba wa manunuzi?
Je nani alilipa hela ya manunuzi??

je hawa wote hawapashwi kuadhibiwa????
Wana uchungu na sisi hadi Cleare Short akajiuzulu kwa sababu ya kuitetea Tanzania. Sijawahi kumsikia hata waziri akimshukuru huyu mama kwa jitihada zake hizo. Tunasikia tu wanagombea pesa za change ambazo wala hawakuzihangaikia.
 
Hawa jamaa wa takukuru huwa ni wazee wa kuwasafisha mafisadi. Mnakumbuka walivyosafisha mkataba wa richmond only to realize later that twaz a fake contract?
 
Ukiona hivyo na yeye anahusika!
Naona kuna haja ya kuufuatilia uraia wa chenge
 
Back
Top Bottom