Dr.Charles Kitima na wewe umenunuliwa?

Tundu muongo, mnafik, mzandik.

Kwani shetani akimuita mtu kuwa (huyo mtu) ni "muongo, mnafiki, mzandiki" kuna ubaya gani? Nitatishika Bwana Yesu akiniita maneno hayo, sio shetani aslaani!
 
Sasa mansubiri huruma ya TEC kumuokoa LISSU? imekula kwenu, na wala msiingize TEC kwenye siasa.
 
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Vitu vingine haviitaji Ph D kujua ukweli. Kama Tindu aliongopa kuhusu Muswada, kwanini Mh JK anaurudisha tena Bungeni? Tuacheni ushabiki, ukweli always uibuka juu
 
'''''nimeambiwa''''
 
Wewe changia mada kwa kujibu hoja na siyo kumtajataja mtu, nina mashaka na uelewa wako au la hujui unalolifanya ndo maana hoja zako siku zote ni majina ya watu tu na siyo maudhuhi.

ha ha ha we ndo kalagabao kabisaa.title ya mada ni jina la mtu.ungeanza kumkosoa mleta mada.ye ashachangia we thibitisha lisu sio mzandiki.kumbuka dunia ni watu sio matofari
 
Wewe changia mada kwa kujibu hoja na siyo kumtajataja mtu, nina mashaka na uelewa wako au la hujui unalolifanya ndo maana hoja zako siku zote ni majina ya watu tu na siyo maudhuhi.

Naona umepewa jibu zuri kabisa post #66 , unalo zaidi?
 
Vitu vingine haviitaji Ph D kujua ukweli. Kama Tindu aliongopa kuhusu Muswada, kwanini Mh JK anaurudisha tena Bungeni? Tuacheni ushabiki, ukweli always uibuka juu

aisee kumbee itakua TEC wamemshinikiza eti?
 
Vitu vingine haviitaji Ph D kujua ukweli. Kama Tindu aliongopa kuhusu Muswada, kwanini Mh JK anaurudisha tena Bungeni? Tuacheni ushabiki, ukweli always uibuka juu

Sikiliza usiwe punguani, muswaada umejadiliwa bungeni, kama mnaona una matatizo ulitaka aurudishe wapi? Kwani ule wa kwanza mlipoenda kumuona Ikulu aliurudisha wapi?

Muswaada umepita unakwenda hatua ya kusainiwa, unasainiwa, unarudishwa bungeni, kama mnataka marekebisho nendeni mkajadili marekebisho bungeni. Hizo ndio kanuni, hakuna longo-longo hapo.
 
Mwongo sana wewe hujui hata channel of communication ya hizo taasisi sasa nani wa kufyekwa na hizo taasisi kama sio Mh sana Jakaya Kikwete aliyeweka watu anaowafahamu yeye na wasio toka taasisi hizo taja nani toka taasisi hizo kati ya wajumbe 30 wa tume saa zingine fikiria kwanza
 
kwa Kifupi Mwenyekiti wa CCM amedeclare kwamba wabunge wake ni maamuma , muswada unapitishwa unakuwa sheria baada ya Raisi kusaini halafu inarudishwa bungeni bila hata kutumika jibu ni kwamba wabunge wa CCM aka akina ndiyooooooooooooooooooooooo, hawako kwa ajili ya wananchi ila kwa ajili ya matumbo yao
 
Wewe akili ya Lissu na Kitima unaona zipo sawa?hawa wote wapenda sifa na camera hwana kitu........
Nadhani hawa watani zangu huwajui. Kitima hajawi kushika namba 2 na kama sikosei alikuwa na 1 pointi 5,
si udaktari wa sheria wa kupewa kausotea ulaya na UDSM. Usijadili mtu kwa kuwa unachuki nae.
 
msichanganye mada. Dr Tundu Lissu alichosema ni kwamba Alshaimaar Kwegir hakupendekezwa na walemavu bali kikwete alimteua kwa mapenz yake binafsi. Hapo ndipo jk akamuita kuwa ni muongo na mnafiki. Sasa niambie unafiki wa Lissu ni upi. Ina maana kwamba Alshaimaar alipendekezwa na walemavu akawawakilishe? Acheni wivu wa kike na uvivu wa kufikiri!
 
Nadhani hawa watani zangu huwajui. Kitima hajawi kushika namba 2 na kama sikosei alikuwa na 1 pointi 5,
si udaktari wa sheria wa kupewa kausotea ulaya na UDSM. Usijadili mtu kwa kuwa unachuki nae.

Dr kitima is a great schoolar ana degree ya theology na PHD ya laws.tatizo sio kitima ni tundu lisu.inaonekana hakua na dhamira njema.Kwani mpaka xaxa TEC wako kimya.tutabaki tunamwamini rais mpaka TEC waongee Tofauati.much respect to TEC
 
Kuna vitu vingine kusaini ni sawa na kuweka "najisi" katika document ya serikali!

Raisi makini hasaini upuuzi kwani ana haki ya kusaini au kutosaini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…