Dr. Chami, Moshi vijijini hana mpinzani kabisa

Dr. Chami, Moshi vijijini hana mpinzani kabisa

Vipi ile scandal ya mkewe kumpiga msichana wa kazi hadi kufa kisa alikataa kwenda kanisani mwezi wa Ramadan ya mwaka jana iliishia wapi?
 
Karibu ukamsindikize mwanaume bungeni njoo na hoja za vitenge haaa chaliii

Duh! Kwanini nimesindikize BINADAMU mwenzangu,na kwanini yeye asinisindikize?Rafiki mie siji na zile SIASA za maji taka nakuja na Siasa za kisayansi.............Siji na nitakufanyia hiki na hiki nakuja na tuangalie kwanza vipaumbele vyetu kama jimbo na mimi kama mbunge wao ni msimamizi wa vipaumbele hivyo ili vitekelezeke.............

Tusikubali Kanga na vitenge........Twende na tulifanyie nini jimbo letu....Sina pesa ya kutengeneza barabara lakini ninauwezo wa kufuatilia ili barabara ijengwe...........
 
Ila wabongo kwa kutoridhika atujambo barabara amzionieee
Hakuna barabara aliyoleta Chami hata moja ila ni ahadi za kikwete. Hata mbunge angekuwa nani bado ahadi hizo za Rais zingetekelezwa. Ndiyo maana barabara za lami zimejengwa pia jimbo la Hai kwa Mbowe na Vunjo kwa Mrema. Zote hizo nilikuwa ahadi za Kikwete. Chami hajatekeleza ahadi yake hata moja zaidi ya kuchinja ng'ombe na kugawa mbege kwa kutumia fedha za mfuko WA jimbo.
 
Jipe moyo kwani hilo ndio la msingi kama unakubalika,hivyo vingine ni mbwembwe tu kamanda.

Cha msingi ni uwezo (si wa kifedha) kama upo tu.............
 
Huyo Victor Tesha amejipanga haswaa maana ameshaacha kazi benki na kuweka kambi hapo URU kumng'oa Daktari wa Saundi
 
Mbunge wa wa Moshi Vijijini anaonekana hana mpinzani kabisa hii ni kutokana na kuleta maendeleo ndani ya jimbo na kuboresha miundombinu ya umwagiliaji na barabara pia mbunge huyu amezidi kuonyesha uimara wake kwa kujenga kiuwezo akina mama kwa kuwanufaisha kwenye vikundi mbalil mbali.

Naona huyu mzee mlango wa bungeni 2015 Oktoba unamuhusu


Mimi nadhani hukuwa na nia ya kusema kwamba Chami ana nguvu jimboni kwa kuwa ame deliever ila umewaita UKAWA kijanja waje kulia naye . Sasa Ngojea bro utasikia soon
 
Chami anapoteza muda wake bure,
hata ccm wenyewe hawawezi kumpitisha.
ogopa mbunge wa moshi vijijini anayelala guest house moshi mjini anaogopa hata kukanyaga moshi vijijini mpaka afungue kontena lake la cherehani aliloagiza special kuwatuliza wapiga kura ktk kipindi hiki cha uchaguzi.
 
Hakuna barabara aliyoleta Chami hata moja ila ni ahadi za kikwete. Hata mbunge angekuwa nani bado ahadi hizo za Rais zingetekelezwa. Ndiyo maana barabara za lami zimejengwa pia jimbo la Hai kwa Mbowe na Vunjo kwa Mrema. Zote hizo nilikuwa ahadi za Kikwete. Chami hajatekeleza ahadi yake hata moja zaidi ya kuchinja ng'ombe na kugawa mbege kwa kutumia fedha za mfuko WA jimbo.

Duuu kweli huyo ni Dr wa sound
 
Chami hajafanya lolote moshi vijijini mimi ni mzaliwa wa kijiji cha manushi sinde anakotoka chami.
Nimezungunga %90 ya jimbo la moshi vijijini wengi wanalalamika toka wamchague hajawahi kufika jimboni na hata bungeni asikiki.
Wananchi wameapa kummaliza kwenye Sanduju la kura
 
Duh! Kwanini nimesindikize BINADAMU mwenzangu,na kwanini yeye asinisindikize?Rafiki mie siji na zile SIASA za maji taka nakuja na Siasa za kisayansi.............Siji na nitakufanyia hiki na hiki nakuja na tuangalie kwanza vipaumbele vyetu kama jimbo na mimi kama mbunge wao ni msimamizi wa vipaumbele hivyo ili vitekelezeke.............

Tusikubali Kanga na vitenge........Twende na tulifanyie nini jimbo letu....Sina pesa ya kutengeneza barabara lakini ninauwezo wa kufuatilia ili barabara ijengwe...........

Wewe ni nani sasa tunataka tujue jina lako Moshi hatuhitaji mgombea wa kwenye broofkesi.
 
Wewe ni nani sasa tunataka tujue jina lako Moshi hatuhitaji mgombea wa kwenye broofkesi.

Siyo boofkesi,weka hivi basi Briefcase.............,kwani wa kwenye hayo maboksi wakoje?Mimi MZALENDO fitina kwangu mwiko
 
Ameshaanza kujipa moyo mapema kabla ya muda wa presha haujifika huyu Dr.Chami ajiandae kwenda kulima kahawa huko ubunge asahau kabisa kwani hata huku kijijini kwetu karibu mitaa yote CHADEMA tumechukua bado haoni dalili za mvua.
 
Back
Top Bottom