Dr. Chami, Moshi vijijini hana mpinzani kabisa

Dr. Chami, Moshi vijijini hana mpinzani kabisa

leo kaonyesha bungeni picha aliyopiga juzi na mhadhama kardinal pengo
 
Upinzani wote wangeungana wote under ukawa, CCM wangua watu

Na hapa tunatakiwa kuwapeleka hii Tume ya Mkude Simba mahakamani maana wanatuchezea akili zetu...
 
Kati ya wabunge wa ccm ambao wana hali mbaya na hawana uhakika wa kurudi bungeni ni huyu bwana. Hata yeye anajua.

Dalili hizo ni pamoja na matokeo mapaya ya uchaguzi wa serikali za mtaa

Pili ni kutoshughulika na matatizo sugu katika jamii huku akiwa bize na biashara zake.

Kingine kitakachompoteza ni siasa zake za kibaguzi katika uwakilishi wake.

Kwa masikitiko makubwa ambayo hata yeye hakutegemea kata ya kimochi yenye vijiji vinne ilimkataa, Sango, shia, mdawi, mowo....

Upinzani umekuwa mkali kutokana na udhaifu wake katika uongozi pamoja na kashfa ya ufisadi iliyomfanya avuliwe uwaziri.
 
Mkuu unaizungumzia Moshi Vijijin ipi? kama ni hii niijuayo basi huyo chama akitaka heshima wala asitie nia maana asubuhi ya saa nne mbunge wa ukawa atakuwa anasubiria kuabishwa tarehe 25 octoba.
 
Mbunge wa wa Moshi Vijijini anaonekana hana mpinzani kabisa hii ni kutokana na kuleta maendeleo ndani ya jimbo na kuboresha miundombinu ya umwagiliaji na barabara pia mbunge huyu amezidi kuonyesha uimara wake kwa kujenga kiuwezo akina mama kwa kuwanufaisha kwenye vikundi mbalil mbali.

Naona huyu mzee mlango wa bungeni 2015 Oktoba unamuhusu

Naongea kama mkazi wa moshi hasa vijijini.
Huyu mbunge mara ya mwisho kumwona ilikua 2010. Na nnatarajia kimwona 2015 akija kiomba tena kura.
 
Mkuu,

poleni sana, hapo Moshi vijijini yupo kijana wangu VICTOR TESHA, anamheyesha sana huyo mzee Dr. Chami.

Mwambie aachie kiti kwa heshima, maana mwaka huu ni mwaka wa vijana.

hapo Moshi vijijini please acheni mambo ya kizamani ya kushabikia vyama vya kale visivyoleta maendeleo. chama kimeua usharika wa KNCU, kahawa imekufa, umaskini umeingia Moshi kwa kasi bado mnashabikia ccm?

acheni sasa CDM wafanye kweli hapo
 
Back
Top Bottom