Dr. Chami, Moshi vijijini hana mpinzani kabisa

Dr. Chami, Moshi vijijini hana mpinzani kabisa

Siyo boofkesi,weka hivi basi Briefcase.............,kwani wa kwenye hayo maboksi wakoje?Mimi MZALENDO fitina kwangu mwiko

Duuuu,hao ndio wapambe wa mh mbunge.
 
Bila Uchakachuaji CCM ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro ni Historia ... Kule Siha kuna Engineer alimuangusha Mwanri, Chami nje, Mrema nae Nje... Kule Upareni Magembe anapumulia mashine, Mtoto wa Msuya nae Hoi, Yule Mke wa Malecela Hoi ..
 
Ameshaanza kujipa moyo mapema kabla ya muda wa presha haujifika huyu Dr.Chami ajiandae kwenda kulima kahawa huko ubunge asahau kabisa kwani hata huku kijijini kwetu karibu mitaa yote CHADEMA tumechukua bado haoni dalili za mvua.

Mkuu kulima ni kugumu kwa watu kama hao waliozoea kula vya kunyonga.
 
Hiyo ni kata moja tu na hata kura nyingi hazitokei pande hizo kwa kuwa watu wake hawana mwamko wa kushiriki kupiga kura.
Either way, certain percentage achieved, maisha ni hatua kwa hatua, zamu yao itafuata.

Mbona hoja yako haieleweki mkuu! Kwamba hawajapata hizo huduma kwavile watu wa huko hawapigi kura? Na kwamba.."maisha ni hatua kwa hatua, zamu yao itafuata" Ndiyo yalikuwa makubaliano wakati akiomba kura??
 
Duuuu,hao ndio wapambe wa mh mbunge.

Nimejua ndiyo maana nimezidi kumpandisha mori ili maisha yazidi kuwa magumu............Maana yule mwingine homa ya UCHAGUZI imeshamondoa maskini..............
 
Huyu si ndiye aliyejitetea Bungeni kuwa akifukuzwa UWAZIRI basi 2015, Jimbo lake litakwenda CDM.
 
Nimejua ndiyo maana nimezidi kumpandisha mori ili maisha yazidi kuwa magumu............Maana yule mwingine homa ya UCHAGUZI imeshamondoa maskini..............

Teeeeh,teeeeh,teeeeh,homa saa hizi wakati hata campaign bado?
 
Huyu ni mmbunge wa wakibosho tu,sisi wengine hatujui
 
Teeeeh,teeeeh,teeeeh,homa saa hizi wakati hata campaign bado?

Wee acha kabisa..Wanatamani UKAWA ife hata leo.Huko kwa Magamba maisha ni magumu rafiki...
 
Mleta mada ameandika kimahaba sana.....Wiki iliyopita nilikuwa Kibosho kwa Chami...hakuna lolote....Oct ni kesho tu....ataubuka
 
Mwambie nipo mimi,baada ya kukaa huku kwa WAKWERE na WAZARAMO sasa nataka kurudi home SWEET HOME........:smiling::smiling::smiling:

Ukienda chini ya Ukawa utapata bila shida
 
Upinzani wote wangeungana wote under ukawa, CCM wangua watu

Mkuu kwani kwa sasa ni chama gani cha upinzani hakipo ukawa? Hao waliobaki siyo vyama vya upinzani.huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom