Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 892
Yesu Kristu Maria Na Yosefu, kuna vitu vingine hata kama wewe ni viongozi you cannot be excused hii habari ya kuwa na wafanyakazi wa ndani kutoka nje ya nchi sio sawa. '
hawa Immigration wanajua kubughudhi wale wanaojitahidi kufuata process kwa mfano kwenye kampuni ninayofanya kazi wapo hapa asubuhi mchana jioni ati wanafuatilia wanaofanya kazi bila kibali na kila siku wakija wanaambulia patupu. lakiniwatakapojua kwamba haya yanaendelea hawatajigusa hata.
Vitu kama hiovi hata tume havihitaji kama ushahidi upo TAMWA hawawezi kuwasaidi hawa wasichana au nao wanawaogopa hawa viongozi