Dr Bashiru: Mitambo ya uongo CCM inatisha

Dr Bashiru: Mitambo ya uongo CCM inatisha

Duh! Mpeni mwenyekiti nafasi ya kufanya kazi jamani. Kila siku vituko tuu. Makontena hajamaliza mnakuja tena na viwanda vya nini eti?
 
Dr Bashiru amesema ahadi kuu ya mwana CCM ni kusema ukweli daima lakini kwa Sasa Mitambo ya uongo CCM inatisha.

Source: Clouds 360!
Kwa hiyo yeye alisema ukweli mtupu siku alipoulizwa na mwandishi wa habari juu ya CCM kukiuka katiba yake kwa kuwateua moja kwa moja kuwania ubunge wale wanaohama kutoka upinzani?Bora angekaa kimya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bora maana wewe ubongo wako umeliwa tayari na cancer.wahi tiba mapema maana nyekundu unaona kijani.Amka amka amka tumia akili yako vizuri.Kauli ya Bashiru sio ya kisiasa,inatakiwa kufanyiwa kazi.sio kila kitu unaingiza siasa

Umeimaliza Shift yako hapo kwenye Danga la masaji nimtume kijana akufuate!?
 
UHURU huo umepitiliza mipaka,Kuna mengine ya kuongea ndani ya CCM sio public.Katibu mkuu kama kweli kayasema hayo alitakiwa kuyasema ndani ya VIKAO au mikutano ya ndani ya CCM kama yapo sio kwenye public
Ccm vukuvulu tu hadi mnakosa mpangilio wa nini kisemwe wapi na nani kwa hadhira ipi!Hata wewe unamtuhumu boss wako? Isijekuta kafuta fao la buku saba!
Vipi suala la prince kuwapelekea walimu sofa za kulalaia ofisini kwao kalisemea?
Mmevurugwa mno safari hii!
 
Hongera mh katibu mkuu kwa kusema ukweli kuwa ccm ni kiwanda chat uongo na majungu ndio maana nchi haina maendeleo kwasababu ya uongo wa wanaccm! Na ndio maana hatutapiga hatua kimaendeleo Kama ccm itaendelea kubaki madarakani.
 
UHURU huo umepitiliza mipaka,Kuna mengine ya kuongea ndani ya CCM sio public.Katibu mkuu kama kweli kayasema hayo alitakiwa kuyasema ndani ya VIKAO au mikutano ya ndani ya CCM kama yapo sio kwenye public
Kwani si ndio ukweli wenyewe?? Cxm wote from top to bottom ni waongo. Wanañchi wote tunajua hilo.

Untaka akasemee mafichoni? Itasaidia ñini?
 
I see, didn't expect to hear that from the General Secretary of CCM

Huyo Bashiru Ally kajichanganya kwenye siasa za vyama bila kujua hizo taasisi mizengwe ni ya kutosha. Halafu huyo Bashiru anadhani uongo ni wale wasimkubali yeye tu, hajazungumzia uongo wa ccm kwenye uchaguzi kwa wao kutangazwa bila kushinda? Petro hukutarajia maneno hayo kwa Bashiru maana umezoea wanaccm kufumbia macho madhaifu yao, lakina shida huyo Bashiru hakuwa mwanaccm wa mbele chamani, hivyo hakuwa amejua uhalisia wa chama hicho kiutendaji.
 
UHURU huo umepitiliza mipaka,Kuna mengine ya kuongea ndani ya CCM sio public.Katibu mkuu kama kweli kayasema hayo alitakiwa kuyasema ndani ya VIKAO au mikutano ya ndani ya CCM kama yapo sio kwenye public

Huko ccm hakuna amani bali kuna hofu ndogo inayoletwa na mwenyekiti wake kwa kutumia kofia ya amiri jeshi mkuu. Na ukizingatia hamshindi kihalali, basi hamna kuheshimiana tena huko ndani. Ndio maana Bashiru kaamua kufunguka hadharani kwa hasira kwani hana uvumilivu wa siasa za mizengwe.
 
Back
Top Bottom