johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,636
- Thread starter
- #41
Ufipa wamedumaa!You heard it now!
Hii ndio Demokrasia ya ukweli Chamani. Mambo yanawekwa bayana.
Sio huko mnakofuga misukule, ukihoji au kutoa Kauli kama hii nina Hakika pasi na na shaka Dr. Mashinji angetoweka mchana kweupeee!