Dr Bashiru: Mitambo ya uongo CCM inatisha

Dr Bashiru: Mitambo ya uongo CCM inatisha

Eti hizi ndizo furniture's zilizo tolewa na Diaspora kama msaada kwa shule za Darisalama....tehteehh
tapatalk_1535659371625.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UHURU huo umepitiliza mipaka,Kuna mengine ya kuongea ndani ya CCM sio public.Katibu mkuu kama kweli kayasema hayo alitakiwa kuyasema ndani ya VIKAO au mikutano ya ndani ya CCM kama yapo sio kwenye public
Ameongea kwenye Mkutano wa UWT, sioni tatizo hapo!
 
I see, didn't expect to hear that from the General Secretary of CCM
You heard it now!
Hii ndio Demokrasia ya ukweli Chamani. Mambo yanawekwa bayana.
Sio huko mnakofuga misukule, ukihoji au kutoa Kauli kama hii nina Hakika pasi na na shaka Dr. Mashinji angetoweka mchana kweupeee!
 
Back
Top Bottom