Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Kwa sababu hatakiwi kuongea ukweli yeye kama Secretary General,ama?I see, didn't expect to hear that from the General Secretary of CCM
Kwa sababu hatakiwi kuongea ukweli yeye kama Secretary General,ama?I see, didn't expect to hear that from the General Secretary of CCM
Mtambo mmojawapo huuBashiru anadhani Siasa Ni Taaluma Kumbe Siasa Ni Kipaji
Hahahaaaaa,imepenya mlemle!UHURU huo umepitiliza mipaka,Kuna mengine ya kuongea ndani ya CCM sio public.Katibu mkuu kama kweli kayasema hayo alitakiwa kuyasema ndani ya VIKAO au mikutano ya ndani ya CCM kama yapo sio kwenye public
Wewe utakuwa Fundi mchundo wa Mitambo hiyo ya UongoMtambo mmojawapo huu
Naomba namimi nafasi ya kufundisha dasilamuEti hizi ndizo furniture's zilizo tolewa na Diaspora kama msaada kwa shule za Darisalama....tehteehh View attachment 852112
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo katika ccm most members ni waachama wa masilahi zaidi. Muda si mrefu kitabaki na wanachama wenye kuzingatia ahadi na imani za chama.Dr Bashiru amesema ahadi kuu ya mwana CCM ni kusema ukweli daima lakini kwa Sasa Mitambo ya uongo CCM inatisha.
Source: Clouds 360!
Mimi sio ccmWewe utakuwa Fundi mchundo wa Mitambo hiyo ya Uongo
Vipi kodi ishalipwa, dili imebuma lipeni kodi kwanza .Huu tuna Uhuru wa kuongea siyo kama hapo Ufipa
Wakiongozwa na MTAMBO wao nambari 1...JiweDr Bashiru amesema ahadi kuu ya mwana CCM ni kusema ukweli daima lakini kwa Sasa Mitambo ya uongo CCM inatisha.
Source: Clouds 360!
Dr Bashiru amesema ahadi kuu ya mwana CCM ni kusema ukweli daima lakini kwa Sasa Mitambo ya uongo CCM inatisha.
Source: Clouds 360!
Sofa watazawadiwa UfipaVipi kodi ishalipwa, dili imebuma lipeni kodi kwanza .
Yeye mwenyewe toka amekuwa katibu ni mwongo utafhan kazaliwa upyaa, chaaa!!! Bashir gani??