Dr. Bana: CCM bado ni chama imara, kinasikiliza watu!

Watu kama hawa ndio wanaua maana nzima ya umuhimu wa intellectuals in politics. Intellectuals are supposed to raise above partisan politics and concern themselves with larger social and national issues. Intellectuals like Bana:

Are supposed to give our society its own image;
Are supposed to articulate our hopes and fears;
Are supposed to clarify important issues to the less educated and knowledgeable;
Are supposed to warn us of impending dangers;
Are are supposed to cajole us into action;

Ama kweli, "Good Politicians Need Not Be Intellectuals".

mtanzania atafanya hivyo akiwa tu ameshiba; lakini akiwa na njaa (ya akili na tumbo) kama huyu jamaa, sahau.
 
Hiili dubwana sasa laelekea pabaya, lanikera sana miye, limepitliza viwango vya kujikomba kwa magammba.
 
...Anasema CCM bado ni imara kwenye utawala,chama kinachoonesha kina vision na kinasikiliza watu/wananchi na kutoa masuluhisho kwa wakati mfano dhana ya kujivu gamba,ni imara kwenye mfumo wa uongozi,anasema ina-policy nzuri kuliko vyama vingine akasema hata ukisoma ilani ya chama ya uchaguzi ni nzuri kuliko vyama vingine,na anasema ni chama kinachoongozwa kwa utaratibu na sio kama NGO..hapa anaongea kupitia THIS WEEK IN PERSPECTIVE muda huu...

My take:
Huyu Doctor anaelekea pabaya,kama hata hasomi majira na nyakati lol!!
Huyu Bana njaa (insecurity) inamsumbua maana njaa aliyonayo inamfikirisha kuwa CCM itaendelea kukaa madarakani hivyo akistaafu iwe rahisi yeye kupata mkataba. Kwa hiyo yeye ni mchumia tumbo tu kwani hayo aliyoyasema leo na siku za nyuma zinaonesha anavyojikomba kwa CCM ili akitimiza umri wa kustaafu kwa lazima aweze kupewa mkataba wa kuendelea kuwepo pale chuo kikuu. Ushauri wa bure kwake ni kuwa kama angeweza kutazama japo mita 50 kutoka usawa wa pua yake, angejirekebisha, kwa kufikiria iwapo jiwe linalokataliwa na waashi (CDM) litakapokuwa jiwe la pembe kuu hivi karibuni. Atalia na kusaga meno.
 
Watu kama hawa ndio wanaua maana nzima ya umuhimu wa intellectuals in politics. Intellectuals are supposed to rise above partisan politics and concern themselves with larger social and national issues. Intellectuals like Bana:

Are supposed to give our society its own image;
Are supposed to articulate our hopes and fears;
Are supposed to clarify important issues to the less educated and knowledgeable;
Are supposed to warn us of impending dangers;
Are supposed to cajole us into action;

Ama kweli, "Good Politicians Need Not Be Intellectuals".

Tafakari upya.
 
Nafikiri alikuwa usingizini ndo kamka ss anakurupuka mwacheni atajuwa hali alisi akishaswaki
 
Anatutia aibu alumni wa PS+PA huyo mtu, he have to be impatial in these issues. Nashukuru tu wakati nasoma hatukuwa na mtu kama huyo.Sijui hata darasani anafundishaje kwa misimamo yake
 
...Anasema CCM bado ni imara kwenye utawala,chama kinachoonesha kina vision na kinasikiliza watu/wananchi na kutoa masuluhisho kwa wakati mfano dhana ya kujivu gamba,ni imara kwenye mfumo wa uongozi,anasema ina-policy nzuri kuliko vyama vingine akasema hata ukisoma ilani ya chama ya uchaguzi ni nzuri kuliko vyama vingine,na anasema ni chama kinachoongozwa kwa utaratibu na sio kama NGO..hapa anaongea kupitia THIS WEEK IN PERSPECTIVE muda huu...

My take:
Huyu Doctor anaelekea pabaya,kama hata hasomi majira na nyakati lol!!

Ipo siku wasomi kama Dr BANA WATACHARAZWA VIBOKO NA WANANCHI KWA TABIA ZA KUSHADIDIA ******.MAANA NILIFIKIRI KWA DR KAMA YEYE ATAFANYA RESEARCH NDOGO TU KWENYE MIKOA YENYE WASOMI[HIGH CIVING ]WENGI KAMA KIGOMA,M'NZA,MBY,AR,K'NJARO NK.NDIPO AFANYE CONCLUSSION.KWA TABIA YAKE HIYO YA MANENO YA KUUDHI WATU WASIO NA MRENGO WAKE DR BANA IPO SIKU ATAJIKUTA ANAHARUFU YA YAI VIZA.
 
Kazi ipo kwelikweli hii nchi, huyo Bana jina tu ni balaa la mwaka na amezalisha wanao itwa wasomi pale UDSM unategemea hawa wasomi watakuwa na akili timamu kweli? kama huyu mwl wao Mjinga namna hii anaye shindwa kutoa tasmini hata kwa jambo ambalo halihitaji uchunguzi.
 
Taifa lolote ambalo wasomi wake wanajipendekeza kwa watawala ni taifa lililo paraganyika - J.K.Nyerere (nami naongezea ni wasomi uchwara,wasomi njaa,wasomi wachumia tumbo kama kina Dr Bana,Mukandara nk)
 
Wakuu, Dr Bana si msomi tena kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam, leo imekuaje mnakataa mawazo ya msomi mwenzenu.

Kama hoja anazotoa zinatiliwa shaka mpaka na wapiga debe..kuna haja ya kujiuliza mara mbili dhamira yake kama msomi ni nini?
 
siku ya kuupata uhuru wetu tunamvua u-dr. kwa sababu alipigana upande wa adui yetu. ni wazo langu tu wajameni

kaka mkumbwa, aliyezaliwa na mwanamke, maisha yake yakuwa ya shida mpaka siku ya kufa naomba nikusalim
 
Wakuu, Dr Bana si msomi tena kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam, leo imekuaje mnakataa mawazo ya msomi mwenzenu.

Wasomi wapo London university, Havard and the like.. ninachotaka kusema ni kwamba HAJASOMA
 
Back
Top Bottom