Dr alphonce ndibalema wa udsm hatunae tena

Dah.? Poleni sana wadau.... Taarifa toka kwa mwanae, zinasema kuwa msiba uko Mbagala, na baadae heshima za mwisho kutolewa pale Mlimani...
 
Daah! Huyu Dr. alikuwa kichwa cha aina yake. Ilikuwa sio rahisi watu kulala kwenye Lecture yake pale UD! Educational Management man nakumbuka madesa yake mpaka sasa back 2003!!!!
 
Rip(rest in peace) ndibalema tutakosa michango yako ya kielimu kule kny gazeti la rai
 
Inauma sana kumpoteza kamanda wa EA,ila Mungu awatie nguvu na moyo wa uvumilivu wafiwa wote, JNA LA BWANA LIHIMIDIWE
 
RIP Dr. Ndibalema. Namkumbuka mzee huyu kwa vichekesho vyake wakati ananifundisha Educational Management pale UDSM miaka michache iliyopita.

we acha tu,alikua anafundisha lekcha za usiku,kwakuwa ilikuwa ni ya muda mrfu,alikua anauza chai mpaka raha,dah mzee wa SERENDIPITY
 
we acha tu,alikua anafundisha lekcha za usiku,kwakuwa ilikuwa ni ya muda mrfu,alikua anauza chai mpaka raha,dah mzee wa SERENDIPITY
chai yake ya nyoya iliyotakiwa kuwashukia mapadre iliniacha sana hoi.RIP Dr Ndibalema
 
Back
Top Bottom