Pole sanaDaah! Huyu Dr. alikuwa kichwa cha aina yake. Ilikuwa sio rahisi watu kulala kwenye Lecture yake pale UD! Educational Management man nakumbuka madesa yake mpaka sasa back 2003!!!!
yaani ANDREW123 umeufukunyua Uzi wa mwaka 2011[emoji848]Pole sana
Amen.Roho ya marehemu Dr. Ndibalema (na wengine wote) wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani.
Mwl wetu huyu Dr. Mwanae Sophia kapata PhD yake USA majuziyaani ANDREW123 umeufukunyua Uzi wa mwaka 2011[emoji848]