Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

Mimi binafsi huyu Dk Alinda Mashiku akisema yeye Yuko Marekani nakubali na Akisema yeye Ni Tanzania Diaspora nakubali

Wengine sikubali Marekani sio kituo Cha daladala kuwa oooh Niko Marekani wakati Ni mpiga debe wa daladala Marekani .Huyu ndio Yuko Marekani.Mwanamke wa Nguvu
 
Arudishwe Tanzania Mara Moja ajiunge na ccm akili zake ziishe
 
Ila naona anasema baba yake ni champ kwake. All in all hizi sex haziko sawa kuanzia mbinguni duniani na kuzimu. Kiufupi kila mmoja (me/ke) anaweza kwa “ability” yake
 
Wakenya wanamjua huyu lakini?
 
Wanawake wa kisukuma zinachaji kama wanaume wao.
 
Nitakapokuwa nimestaafu, nitaomba kufanya kazi na hawa watu bure, bila malipo. Nazipenda sana kazi wanazofanya. Kama hawana kazi ya ofisini, wanipe angalau hata ya kufagia tu korido za ofisi zao, nitafanya, tena bure bila malipo yoyote
 
Hiyo ni nafasi Tu mkuu...siyo kila mtu anaweza ipata..ata wewe unapaswa kushukuru kwa kupata nafasi ya kuandika uzi humu jf..wengine hawajui ata kama kuna jf.
 
Huyu ni mmarekani

Narudia tena,mruhusu dual citizenship tu

La sivyo tutabakia kuwasifia wenye asili ya kitz

Walipo huko nje

Sasa huyu mfano mkimuomba aje tz atafanya shuguli gani,au atapewa kitengo gani?

Nani atamuhoji maswali(media)gani?
Au wasafi TV, global online,milard etc

Wasije tu interview nzima wakamuliza bf wako nani?unavaa nguo gani na za bei gani

Ova
 
Sisi wanawake wa nguv tunawaona ni shyshy,mbt, zch,pshy

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…