DPP: Ni kosa kuwarejeshea fedha waliowekeza QNET

DPP: Ni kosa kuwarejeshea fedha waliowekeza QNET

Taperi ni yule alie ajili watu wakakusanye pesa badae kumwachia huru na kubakia na pesa

Trillion 2 kwa mwez sio mchezo watakusanya hadi damu
 
Serikali wanaacha hizi shughuli za kitapeli zifanyike na pesa zikusanywe kisha huvamia na kutaifisha hizo fedha. Ilikuwa DECI, Tumaini Fund, Qnet, Mr Kuku. Zote hizi zimefanyika wakiona na watu wakitahadharisha lkn waliacha pesa ziongezeke.
Hawa hawana tofauti na hao matapeli
 
Hela za DECI+MR. KUKU+QNET...............?!

Nahesabu tu.... Hizi ni hela za raia wanaotaka kujifunza uwekezaji wakitafuta mitaji ya kuendesha maisha yao. Wao serikali na watendaji wao tukisema tuwawajibishe na makosa wanayofanya kwa kuwanyang'anya fedha na mali wanazojilimbikizia kuna atakae baki na kitu......?!

Laanatul hawa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tapeli wa ukweli ni yule anaeacha tapeli wa uwongo akusanye hela nyingi kutoka kwa wanyonge hadi zifike billions then anaenda kuzikomba zote kutoka kwa tapeli wa uwongo na kuzihamishia BOT bila ya kuwarudishia wanyonge hela zao.
Kabisa mkuu. Wanachokifanya kwa Qnet na Mr. KUKU ni kile kile cha DECI. Wanasubiria pesa ziwe nyingi kisha wanazizuia wanakaba. Huu ni utapeli na ni organized crime kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mkuu, unakuta kampuni kama DECI, Referal Africa, Qnet zina vibali vyote, Qnet iko Tanzania kwa zaidi ya miaka 6, kiasi kwamba watu wanaamini iko sawa, Mr. Kuku pia hadi alikuwa anajitangaza kwenye ma TV. Wa kulaumiwa zaidi ni vyombo vya serikali kwa kuzipa usajili kampuni za kitapeli, bora ingekuwa ni upatu baina ya kundi la watu lisilokuwa na usajili wala ofsi haya yana usajili kabisa, na wanawaaminisha kwa mapicha waliyopiga na viongozi.
Kabisa mkuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli ndiyo maana nashangaa wanadeal tu na Qnet, zipo kampuni nyingi za upatu na zinajulikana zina maofsi makubwa na zinaendelea kupiga watu kwa pyramid scheme kwa kuingiza watu upate commission,
True sasa hapa ukitaka kujua unafiki wa hii serikali utaona watakavyokalia kimya hizo zingine ili zikusanye mpunga wakagawane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu yule waziri aliyetmbuliwa mkopa pikipiki ndie waliyetumia mgongo wake kuaminisha umma. Good morning milionea kidogo tu niwape michango ya harusi yangu waniuzie saa milioni 5 nashukuru Mungu ni mwema.
 
Hyo ndio dawa ili watu akili iwajie waache kupenda hela za mteremko we uliskia wapi unaweka laki tano sijui baada ya miezi 6 una milion 5 sijui umekaa kitako kwako mtu anakufugia kuku akuletee hela...

DPP hvi hvo wacheni wajinga wakusanye nyie bebeni mana tunapiga kelele kila siku humu hawaelewi
 
Kwakweli ndiyo maana nashangaa wanadeal tu na Qnet, zipo kampuni nyingi za upatu na zinajulikana zina maofsi makubwa na zinaendelea kupiga watu kwa pyramid scheme kwa kuingiza watu upate commission,

Ngoja zikuze kuze mitaji angalau bilioni 10 kwenda juu Ili zikitaifishwa inapatikana pesa ya kutosha kusogezea kipande cha SGR au kurudishia gharama za uchaguzi
 
Hyo ndio dawa ili watu akili iwajie waache kupenda hela za mteremko we uliskia wapi unaweka laki tano sijui baada ya miezi 6 una milion 5 sijui umekaa kitako kwako mtu anakufugia kuku akuletee hela...

DPP hvi hvo wacheni wajinga wakusanye nyie bebeni mana tunapiga kelele kila siku humu hawaelewi

Hizi pyramid scheme business ingia mwanzoni uvune zikishaanza tu kuingiza watu wengi kimbia
 
Hizi pyramid scheme business ingia mwanzoni uvune zikishaanza tu kuingiza watu wengi kimbia
Ndio ndio ukiona kuna mchezo ka huo uliza kwanza wameanza lini kama zishapita wiki tatu kausha...

Ila wanavochukua ndio safi mana wabongo akili zao sijui zipoje una milion 10 unashindwa kufuga kuku hadi ufugiwe hyo akilibya wapi una milion 5 unaenda kununua saa ili iweje unashindwa hata kununua ardhi kama hujui cha kufanya baadae ukaja kuuza wanao wasome....
 
Mbali na kukemea suala hilo, alizitaka taasisi zinazofanya uchunguzi kuhusiana na sakata la kampuni ya Qnet kushirikiana kwani wanajenga nyumba moja.
Mambo niliyo jifunza...

1. Idara za serikali hazina ushirikiano, yaani ziko ziko tu!

2. Usalama wa taifa wanatakiwa wajichunguze kama bado wanastahili kuendelea kuitwa TISS au usalama wa CCM!

3. Inawezekana hii issue ilikua planned na serikali ili pesa zikiwa nyingi wazikwapue kwa kisingizio kwamba hazirudishwi.
 
Tapeli wa ukweli ni yule anaeacha tapeli wa uwongo akusanye hela nyingi kutoka kwa wanyonge hadi zifike billions then anaenda kuzikomba zote kutoka kwa tapeli wa uwongo na kuzihamishia BOT bila ya kuwarudishia wanyonge hela zao.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Kwahiyo UNAMAANISHA SHERIA ya DPP itabagua kutumika kati ya Kuku na Qnet!
Au KUKU kashitakiwa kwa kosa la kichungaji siyo utapeli kama Qnet?
Soma tena ulichoandika mkubwa acha maneno...
 
Back
Top Bottom