DPP: Ni kosa kuwarejeshea fedha waliowekeza QNET

DPP: Ni kosa kuwarejeshea fedha waliowekeza QNET

Lakini mkuu, unakuta kampuni kama DECI, Referal Africa, Qnet zina vibali vyote, Qnet iko Tanzania kwa zaidi ya miaka 6, kiasi kwamba watu wanaamini iko sawa, Mr. Kuku pia hadi alikuwa anajitangaza kwenye ma TV. Wa kulaumiwa zaidi ni vyombo vya serikali kwa kuzipa usajili kampuni za kitapeli, bora ingekuwa ni upatu baina ya kundi la watu lisilokuwa na usajili wala ofsi haya yana usajili kabisa, na wanawaaminisha kwa mapicha waliyopiga na viongozi.
Ndo hapo sasa Tapeli anatapeliwaje?
 
Mwanangu kwel wew bi darasa la 7...yaan umechanganya madesa vibaya mno

Yaan hata kungamua umeshindwa kuwa Mr kuku na Qnet ni vitu viwil tofaut...

Sasa kama umeshindwa hilo...jambo dogo tu...huu uzi wako hauna maana..kwa maana hyo yaan hunaelewa hata scenario nzima zikoje..ni kwamba umedandia train kwa mbele..nakuomba ufanye utafit wa mada yako na ulete uzi mwingne hapa.

Ovyo kabisa...wa Tz ni lawama tu wakat hzo pesa mnapeleka wenyew...lawama nyiiiing

Halaf sasa cha ajabu wachangiaj wote wa uzi nao wanajadili utopolo aliouchanganya mtoa mada..dah..kumbe kenge ni weng humu
 
Walewale wa Qnet
 
Panda ili uvune maradufu ni kauli ya kitapeli inayotumiwa na matapeli wengi wa upatu!

Lakini tujiulize; inawezekanaje nchi ilivyojaa usalama wa taifa kuanzia uchochoroni hadi Bank wasimjue mchezesha upatu kuwa ni tapeli!

Mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne, wa tano tapeli anafanya miamala kimyaa!

Tapeli anasambaa kijiji, kitongoji, wilaya, mkoa hadi taifa kimyaaa!

Hadi mwalimu mmoja anapolalamika ndipo tunajua huyu mcheza upatu ni tapeli. Katapeli bilioni 17, hilo ni kosa!

Tapeli anahukumiwa faini ni million 5 kama hana jela itamhusu!

Halafu akaunti na mzigo wote wa 15 bilioni UNATAIFISHWA! (Ni kosa kuwarudishia waliotapeliwa)

Tapeli tunamwachia aende zake (Case closed)

Mimi niliyeishia darasa la saba nisaidieni kumtambua Tapeli ni yupi!

Kutaifisha hela ndiyo dawa ya hii miupati. Tangu DESI watu wanaambiwa hawasikii wanarudia makosa hayo, zikitaifishwa ndiyo watakoma na kusikia
 
Kuna nyingine iraises kauli mbiu yao ilikuwa ni future bilionear.
 
Mwanangu kwel wew bi darasa la 7...yaan umechanganya madesa vibaya mno

Yaan hata kungamua umeshindwa kuwa Mr kuku na Qnet ni vitu viwil tofaut...

Sasa kama umeshindwa hilo...jambo dogo tu...huu uzi wako hauna maana..kwa maana hyo yaan hunaelewa hata scenario nzima zikoje..ni kwamba umedandia train kwa mbele..nakuomba ufanye utafit wa mada yako na ulete uzi mwingne hapa.

Ovyo kabisa...wa Tz ni lawama tu wakat hzo pesa mnapeleka wenyew...lawama nyiiiing

Halaf sasa cha ajabu wachangiaj wote wa uzi nao wanajadili utopolo aliouchanganya mtoa mada..dah..kumbe kenge ni weng humu
Kwahiyo UNAMAANISHA SHERIA ya DPP itabagua kutumika kati ya Kuku na Qnet!
Au KUKU kashitakiwa kwa kosa la kichungaji siyo utapeli kama Qnet?
 
Hebu acheni kulialia kipindi cha kuishi kwa ujanja ujanja kishapita na mda was kufanya Nazi...kisheria hill in kosa na wahusika wote wana makosa ushasikia serikali inawarudishia waliowekeza kwe biashara ya bangs....na hili sio Tanzania tu..cheki hapo sheria za beberu zinavyosema Pyramid schemes are illegal in New York State, as well as in many other states. Article 23A of the General Business Law of the State of New York §359-fff sets forth the criminality of initiating and participating in pyramid schemes (also known as chain distributor schemes
 
Tapeli wa ukweli ni yule anaeacha tapeli wa uwongo akusanye hela nyingi kutoka kwa wanyonge hadi zifike billions then anaenda kuzikomba zote kutoka kwa tapeli wa uwongo na kuzihamishia BOT bila ya kuwarudishia wanyonge hela zao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom