Ufalme uliogawanyika hauwezi kusimamaTatzo nyinyi waislamu hamna umoja yule sheikh wa dar akipewa biriani na Bashite anaishia kusifu utawala wa ccm,ingekua maaskofu wa RC mngeona hata huyo pengo angechachamaa japo ni mpambe wa jiwe
Sasa hivi unasema tatizo nyinyi ila kumbuka yaliyowapata hao unaowaita nyinyi ipo siku utayapata au yatampata anayekuhusu na utaicheza ngomaTatzo nyinyi waislamu hamna umoja yule sheikh wa dar akipewa biriani na Bashite anaishia kusifu utawala wa ccm,ingekua maaskofu wa RC mngeona hata huyo pengo angechachamaa japo ni mpambe wa jiwe
Tatizo waislam mnakuaga wanafiki na wangese wangese sometimes.tunaeza wasaidia kuwatetea AF badae mkatuita "makafir" so pambaneni na hali zenuDPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini!
Unawaweka watu kwa Mamia ndani Kwa Miaka zaidi ya Mitano eg. UAMSHO kwa sababu Eti uchunguzi Bado unaendelea..ni Kituko Kikubwa. #Munawadhulumu Wanadamu
Dhulma inaendelea Waislamu.. tumeufyata. Watanzania wamenyamaza kimya Kwasababu ya Ubinafsi. Mungu hawezi kuibariki Nchi na Mabalaa kamwe hayawezi kutuondokea tusitafute mchawi Wachawi ni sisi wenyewe.
View attachment 912490
Baadhi Ya Mashehe Wameongwa Ofisi Za Bakwata
Tunaomba Ufipa mtusaidie!Ifike hatua waislam mdai haki kwa lugha itakayoeleweka.
hao ni WATZ ukianza kugawa dinim haitaleta maanaIfike hatua waislam mdai haki kwa lugha itakayoeleweka.
Kiukweli wanateseka hao mashekheeDPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini!