Download Speed: Shkamoo Halotel

Tatizo watumiaji wachache subiri mjae mtanya'anyana hz speed
 
Mda EPL sasa Halotel ndio mwake totenham~Arsenal
 
Ni peed kubwa au wana subsribers wachache?
 
Ni peed kubwa au wana subsribers wachache?
Ni speed kubwa..na pia kutokana bado subscribers sio weng sana...
Coverage yao pia ni kubwa huez fananisha labda na tigo ambaye 3g kwake shida..tigo leo ukisema hata subscribers wabaki 10 tu kuna sehem speed itakua mbovu vile vile maana no coverage hasa vijijini na baadh ya miji mingi tu.
 
Mm kila nikifungua data wala hata haioneshi 3G yaan kifupi siwez kufanya access ya internet nahis tatizo litakuwa ni setting ndo inaleta shida anayeweza kufanya setting anifahamishe
 
Reactions: Lee
Kaka Maeneo ya Manzese ninakoishi hadi Kigogo 3G ya tigo ovyo kabisa,ukienda huko Toangoma ndiyo hata network upati.
wiki iliyopita niliswap kwenda 4G lakini hakuna jipya maana lte yao inakata kata ovyo speed haizidi 500KBps, streaming inagoma goma.
Ukiangalia 3G ya halotel napata zaidi ya 1MBps+ live stremig bila ya kukata niwe Manzese,Kigogo,Toangoma na hata Buza kwa wazee mwendo ni huo huo.
 
Mi nishawah download kwakutia hallotel episode moja ya mb 300 kwa dakika tatu tu sikuamini na ilikuwa mchana tu wakati tgo inaweza ikawa hata masaa manne ku download episode moja mchana salute hallotel
 
Ivi awa Halotel kumbe ni sereous eeh, Maana hakuna anae lalamika kwake spidi ndogo, me nilizani mbwembwe!
 
modem zao za internet zikoje na bei gani?zinahitaji line zao au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…