McMedards
Senior Member
- Oct 19, 2015
- 199
- 83
Uwa kuna ka mchezo kaku limit speed ya internet kwenye baadhi ya vifurushi, karibu makampuni yote ya mitandao uwa yanafanya ivo na uwa haiwekwi wazi, kwa mfano ukiingia kwenye website ya halotel pale sehem ya bundles utakutana na kalugha fulani kakuonyesha speed ya internet haiko sawa kwa kila kifurushi. Io ipo toka kitambo sana kwa voda, tigo, ttcl ndo usiseme, airtel ndo inaka uhafadhali kidogo.