Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

Na mimi nimekwambia sasa hivi tanzania hiyo Tech ya 2g na 3g inapatikana vijijini mjini ni 3G+ na sasa kuna LTE ya kizushi! I na unaposikia Tech ya 3g+ ujue unaelekea kwenye 4g! Mfano halotel wameanza na Tech ya 3g hamna 2g wewe umeelewje afu tuendele! Am hujui maana ya 2g ama 3g ama 4g?
 
Kama Upo dar na arusha mwanza Town dom mbeya mjini na pembezoni network ya maeneo hayo sio 3G ni 3G+ sasa kama alikuwa anapata pungufu ya hapo acheck bandwidth ya simu yake ama kifaa chake
 
Na mimi nimekwambia sasa hivi tanzania hiyo Tech ya 2g na 3g inapatikana vijijini mjini ni 3G+ na sasa kuna LTE ya kizushi! I na unaposikia Tech ya 3g+ ujue unaelekea kwenye 4g! Mfano halotel wameanza na Tech ya 3g hamna 2g wewe umeelewje afu tuendele! Am hujui maana ya 2g ama 3g ama 4g?

mkuu naona umetoka kwenye mada unaenda kwengineee kabisa hata sielewi unaongea nini.

swali rahisi kabisa umetumia kifaa gani kupata 70mbps kwa 3g sijui kipi kigumu hapo mpaka unashindwa kujibu

1. halotel wanayo 2g sijui umepata wapi hio habari kwamba hawana

2. H+ hata haiikaribii 4g sababu H+ ikipeak mara nyingi ni 21mbps hadi 42mbps wakati 4g slow kabisa ni 150mbps na sasa hivi kuna maeneo duniani ni hadi 600mbps. nikukumbushe hapa ni just 4g bado nayo haijaanza 4.5g wala 4.75g so jinsi siku zinavyosogea na speed zinapanda.

ukiona screenshot za watu za 4g wanapata sijui 60mbps ule ni msingi tu zitaongezeka zaidi
 
Talia tatizo wewe hujaipata na njia nzuri ya kusaidia kunielewa ukishindwa hapo jiongezze ukifika umeshindwa kujiongezza subir tu utaona! Sasa kuna zile applications za kucopy file zinaonyesha speed ya kucopy utaona speed yake! Then utajua nn naongelea kaa wewe na kifaa chako!
 
bado na comment hii pia hujajibu swali ulitumia nini kupata hio speed?
 
Watu wambishi nimesha waelezeni kuwa kuna tofauti kati ya mbps na MBps page #25. unayopata 13 mbps ni sawa na 1.6MBps.
 
KAMA WAPO WALE WA VODA AMBAO TAYARI WAMESHAITUMIA 4G YAO... TAFADHALI WAJE WATUPE MREJESHO HAPA.
 
Tofauti ya calculation ni uwezo wa mtandao unaotumia na idadi ya users na network waves distance pamoja na uwezo wa kifaa chako! Ukijipanga hapo utapata 100MPps kumbuka hiyo ni speed at some Moments within 3g+
 
mkuu hii ni post ya mwisho kwako kama utaelewa/huelewi basi.

kwa mtandao wa 3g haiwezekani kupata speed zaidi ya 42mbps hata hizo simu unazosikia zinauzwa mamilioni ya hela modem zake mwisho ni 42mbps yani ni kitu kisichowezekana kupatikana 100mbps wala 70mbps kwa 3g hata iwe 3g+ au h+ na hio limit imeekwa na hao waliotengeneza hio 3g na vifaa vyake wala sio mimi na wewe hata network iwe nzuri vipi huwezi pata hio speed
 
Nilikuwa nanunua bando ya siku speed yao iko vizuri sana sasa nimejaribu kukata mzizi wa fitina nimenunua cha wiki mwendo wa kobe nkaona isiwe kesi nimenunua cha mwezi mwendo wa kobe kama kawaida hii mitandao wajeuri sana bado tunapigwa cha wiki kufungua picha nasubir dakika nne na hapo nina gb moja!!!! Hatari sana.
Mkuu, kwangu ndio kono kono kabisa. Nna 2gb ila wapi! Hakuna jipya aisee.... Bado tunaendelea kupigwa.
 
Mkuu chief-mkwawa jukwaa limeingiliwa siku hizi badala ya watu kupata ujuzi kama huko kipindi cha nyuma watu sasa wamekua wabishi bila kuwa na hoja wala data ya vitu wanavyo viongea sasa wanabisha bila kuja 2g au 3g zipo kivipi na zinafanyaje kazi na speed zake hawazijiu achilia mbali hizo 4g ambazo ndio zimeanza kufungwa kwa sasa nazani kunaitajika uzi maalumu au kama ulikwepo basi wapewe link wajisomee wapate kujua zaidi au watumie google kujiongeza wajue hizi teknolojia zipoje kuanzia mwanzo wake mpaka hapa tulipofika wengi humu wajui naona wanongelea tu kuanzia 2g je wanajua kabla ya hapo kulikua na kitu gani wengine hao wanao bisha hawajui ata dial-up ya miaka ya 90 na 2000 iilikuaje na ilikua na max speed ya kb ngapi na sio hizo mb wanazoengea kwa sasa nazani darasa linaitajika
 
niko na vodacom yangu 4G sina shida.... halotel is my substitute
 
Kitambulisho cha chuo unasajili kwa wakala wa halotel au unaenda kusajilia wapi msaada tafadhali

Siku hizi wamerahisisha ukimkuta wakala wao au hawa wanaorenew line nao wanazo buku mbili tu unaipata hata kwa wale vjana wanaotembea road wanazo pia mkuu....Onyo:ukishapewa hiyo line jitahid uiweke ktk cm na utest kwa kupiga menu ya chuo *148*55#,ikileta menu ndo utoe pesa maana znekuwa deal sana mjini na hao mawakala ambao c waaminif wanatumia mwanya huo kukupa line ya kawaida ambayo bei yake ni 500
 
Nashukuru mkuu umenifungua macho ngoja kesho nikapate yangu
 
Back
Top Bottom