Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

Sijui simu za 3G wengine mmezipata mwaka huu au mfugua thread ni mfanyakazi wa halotel. Sasa hapa cha kushangaza ni kipi labda? Maana hata airtel hizi speed ulikuwa ukizipata with HSPA+ tokea 2012 tena yao ilikuwa ikicheza 10-16Mbps.. Sasa leo 2016 watu ndio mnaona kama maaaajabuuu...
 
Yah! Ni maajabu kwa kwel. Ila mi nakataa eti hyo kasi imeanza n airtel tok 2012
 
Sijui kwako wewe na kifaa ulichokuwa unatumia lakini mimi nakumbuka vizuri Airtel walivyo launch HSPA+ wao pamoja na Zantel Download speed utorrent ilikuwa inafika Max 2MB/s, Nakucheza 1MB/s to 1.6MB/s.
 
Kuna tofauti Kati ya Mbps na MBps(B kubwa). Tubemate huwa inaonyesha Mbps. Kwahiyo Mbps 13 ni sawa na 1.6MBps

  • Mbps inamaanisha megabits per second.
  • MBps inamaanisha megabytes per second.
 
Attachments

  • Screenshot_20160515-204729.png
    Screenshot_20160515-204729.png
    41.9 KB · Views: 69
Mimi natumia halotel it has very high speed
 
nawakubali lakini airtel nouma kitambo! mpaka sasa airtel ndio mtandao unaoendelea kuongoza kwa speed ya internet kwenye mikoa mikubwa!
Halotel hongera kwa kuboresha vifurushi vyako double bundle na speed!
halotel na airtel ni kimya kimya hawana kelele kazi zenu nzuri sana
 
unajua kama 3g haiwezi fika hio speed? na hakuna simu/modem duniani ya 3g yenye speed hio hebu tuambie mwenzetu umetumia kifaa gani?
hiyo ni speed na ni per sec unaweza ukaendesha gar uko speed 120 lakini bado upo same una kuja dar! na kwa taharifa airtel kwangu ilishagonga speed ya 70mpbs na si mara moja tangu mwaka jana!
 
umetumia kifaa gani? sababu kifaa chenye speed kubwa zaidi duniani cha 3g ni 42mbps

sasa unachotuambia hapa wewe kibajaji chako chenye speed kubwa ya km60 per sec kimekimbia hadi 120ps so tutakuaminije?

taja kifaa chako tukiangalie sasa hivi
 
chief hapo hakuna shida japo si mtaalamu sana ,nadhani unajua 3g ni nini na katika 3g kuna uboreshaji umefanyika mpaka tukafika 4g na wengine wapo LTE, huko kwenye minara wana upgrade software na kubadilisha baadhi ya vifaa. katka kujibu swali lako haraka mitandao ya kibongo ipo 3g+ hiyo inamaana uwezo wa kupitisha data umeongezeka mfano hspa+ ata simu yako inaonyeshaga H+ ama 3g ukiona H+ speed ni kali mpaka 100mpbs ,sasa utapataje hiyo speed chagua mtandao sahihi wa internet. kuongezea kuna tofauti flan hutokea kuhusu speed ya download ukiwa unatumia dashboard tofauti mfano unatumia zantel airtel na tigo na nyingine ya modem huawei HSPA na torrent, utagundua speed ya kwenye torrent download ni tofauti na speed ya dashboard ya kwenye tigo ama airtel ama zantel. mfano umeweka airtel line speed inaonyesha 17mpbs ukichek kwenye dashboard ya zantel itaonyesha 5mpbs ukija tigo itaonyesha 21mpbs ukija kwenye torrent itaonyesha 52mpbs na ni file moja unadownload not multiples of files. nachokwambia hiyo speed ipo tigo wanadai wana LTE airtel wanayo kitambo na kazi ya LTE na 4G ili uweze kufikia speed kama hiyo ya data transfer. kifaa nachotumia ni modem ya HSDPA huawei inaingiza laini yeyote na sim pia..samsung tecno zenye lte ama hspda tech iwe upgraded na iwe poa zaidi iwe rooted. ukiskia 3g ya mwaka 2004 sio 3g ya mwaka 2015 itakuwa 3g+++ lakini ni 3g
 
Mkwawa naomba nikulize na kibajaji changu movie ya mb 702 nimedownload kwa dk 12 je speed ya download ilikuwa ngapi?
 
Hichi kitu unachokisema nimekupata.... ni error kwenye dashboard ya Airtel hata mimi kuna wakati dash board ya Airtel ilikuwa inaniandikia hadi 50mbps to hizo 70mbps but after inacrash na inaacha kuonyesha speed itabaki 0 hata kama internet ipo on wakati modem ilikuwa 7.2mbps top speed. H+ AIFIKII HIZO SPEED!!! hata ingia youtube hizo ni speed za 4g.. Angalia hata America au South Korea.
 
Hiyo hapo kumsaidia Chief... ni kama 900KB/s to 1MB/s so ilikuwa inacheza around 6-8Mbps.

1MB/s x 60 seconds =60MB kila dakika
60MB x 12 minutes 720MB

Speed ya kawaida ya Airtel usiku wa manane.

*nilikosea kidogo kuweka minutes badala ya seconds.
 
Hichi kitu unachokisema nimekupata.... ni error kwenye dashboard ya Airtel hata mimi kuna wakati dash board ya Airtel ilikuwa inaniandikia hadi 50mbps to hizo 70mbps but after inacrash na inaacha kuonyesha speed itabaki 0 hata kama internet ipo on wakati modem ilikuwa 7.2mbps top speed. H+ AIFIKII HIZO SPEED!!! hata ingia youtube hizo ni speed za 4g.. Angalia hata America au South Korea.
nashukuru kwa kunielewa kidogo japo nilipata shida ya ufafanuzi najua kwamba umekubaliana na mimi kuhusu utofauti wa speed kwenye dashboard toffauti na ukaita kwamba ni error na ambayo haina jina. naomba nikwambie kwamba ukitaka haswa kujua speed ya mtandao wako kwa njia rahisi na madhubuti na ufanisi tumia torrent download iwe kama dashboard yako kuangalia speed!, na hiyo ndio actual speed ya mtandao wako kwa wakati huo na badae na kila siku zijazo.
nasema hivi sababu speed ya dashboard kwenye torrent ndio sahihi sababu yenyewe ndio iliobeba mzigo ambao uunadownlodiwa ama kunyonywa na inacalculate mda utaotumia jabo umeweka kamodem chako nacho kanaonyesha speed. modem inaweza kukwambia 5mpbs na torrent ikakuonyesha 13 mpbs au wakti mwingine kwenye simu umesema nitaje jina c8 android 6 kwenye network hotspot speed inakuwa 67mpbs lakini kwenye torrent inaonyesha 23mpbs,,cha msingi zaidi torrent itakuandikia the remaining time before you finish your download sasa kipi kitakuwa sahihi juu ya speed ya network!
 
Hiyo hapo kumsaidia Chief... ni kama 900KB/s to 1MB/s so ilikuwa inacheza around 6-8Mbps.

1MB/s x 60 minutes =60MB
60MB x 12 minutes 720MB

Speed ya kawaida ya Airtel usiku wa manane.
asante mtakuja namwambia kijana kuna wakati inagonga 67mpbs ananiambia hapana unatumia kifaa gani! chief mkwawa nakuomba uje mjini...
 
mkuu sijui kama unaelewa kinachozungumzwa jamaa kakufafanulia hapo kwamba hujafikisha hio speed na haiwezekani kufika.

70mbps/8 = hio ni around 9Mbps
hio movie yako ya mb 700 ingechukua around sekunde 80 ambayo ni dakika 1 na sekunde 20 na sio hizo dakika 12 zako.

hebu soma tena post ya juu mara ya pili utaelewa, anakuelewesha na sio kwamba anakusupport umepata hio speed sababu haiwezekani kwa 3g.

na kama inawezekana tutajie hicho kifaa chako ulichopata hio speed kama ni modem itaje aina yake kama ni simu taja aina.

pia kuhusu kwamba waboreshe 3g kwanza ndio waende 3g ni ujinga kwanini wapoteze hela kuboresha tech ya zamani wakati ipo mpya?

ni kama useme tuache kujengea matofali na mabati tuboreshe nyumba za udongo na nyasi.

sasa hivi visimu vya bei rahisi vimeanza kuja na 4g hakuna haja kung'ang'ania tena technology za zamani
 
Unataka kuniambia unatembeaga na constant speed nachokisema hiyo speed ipo tena sana ila network in a Up n down! Sasa kama wewe hujaifikia subir wakati wako
 
mkuu hujaelewa nachokwambia hakuna kifaa cha 3g kinachokubali speed hio hivyo haiwezekani kupata hio speed hio ni fact na sio suala la kujadili.

nimekwambia utaje hicho kifaa hutaki kukitaja hii pia inaonesha moyoni unajua hujapata hio speed
 
Back
Top Bottom