radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Nilikuwa nanunua bando ya siku speed yao iko vizuri sana sasa nimejaribu kukata mzizi wa fitina nimenunua cha wiki mwendo wa kobe nkaona isiwe kesi nimenunua cha mwezi mwendo wa kobe kama kawaida hii mitandao wajeuri sana bado tunapigwa cha wiki kufungua picha nasubir dakika nne na hapo nina gb moja!!!! Hatari sana.