Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

ila wana maeneo na maeneo coz, huku nilipo speed yao sio nzuri sana wanazidiwa na airtel
 
mbona naskia eti kingamuzi wangekiuza elfu 30 na kifurush kingeanzia elfu 2
 
Ndugu zangu nimenunulia lini ya halotel na kujisajili ila network ya simu ipo poa na intaneti siipati kabisa msaada nifanye nini neti ishike?.
 
Mimi kwangu Halotel inanipatia speed kama ifuatavyo:

Download 64.49Mbps, Upload 19.16 Mbps. Ping 9ms
 
Mimi kwangu Halotel inanipatia speed kama ifuatavyo:

Download 64.49Mbps, Upload 19.16 Mbps. Ping 9ms
unajua kama 3g haiwezi fika hio speed? na hakuna simu/modem duniani ya 3g yenye speed hio hebu tuambie mwenzetu umetumia kifaa gani?
 
Jaman kwa watumiaji wa halotel nikijarbu kupga wananiambia line yangu imefungiwa njia moja bt sms zikitumwa,znafika but nikipiga inanambia hvo na pia wananambia niongeze salio jee nikiongeza salio itarudi normal? Maana kuna 450 lakin wanadai wamefungia njia moja
 
Wakuu msaada wenu tafadhali,nimeroot cm YANGU cku mbili zilizo pita BT now inaleta ujumbe kuwa unfortunately kingroot user has stopped!!! wakati huo nikichek kwa rootchecker in sema successful rooted <br />Nifanyeje wadau
 
Nilivyo pokea hii message nikajua mambo mazuri yanakuja
eb809e4982388e27d111c4e917f8d675.jpg


Kumbe majanga sasa hii ni ongezeko au punguzo.. Naipa halotel miezi mitatu na wao pia watakuwa sawa na kina Vodacom
a2f49accee8a69784ed059913c8591a6.jpg
 
Back
Top Bottom