Zinapatikana wapi hizo modem zao?? Nikanunue na mimMimi huwa natumia moderm cm labda tigo.
nenda show room za halotel mkuu popote ulipo ambapo ni rahisi kuwafikiaZinapatikana wapi hizo modem zao?? Nikanunue na mim
Hii spidi ya 4G Tigo kwako Itakuwa IPO vizuri mi maeneo niliyopo nilinunua modem ya 4G na laini ya 4g yaani haina tofauti na 3g kabisa na signal mda zipo low mda wote yaani bar 2 nikidownload inarange 700KBps-1.2MBps nikaachana nayo na kuamia Airtel ambayo inarange 900KBps-2.0MBps. Binafsi hii 4G ya Tigo mi naona ni upuuzi tu.force Ikae lte only. Maana hapo tatizo ni simu/coverage ya mtandao n.a. sio 4g.
Moderm ninayo tumia ni universal so natumia laini yoyoteZinapatikana wapi hizo modem zao?? Nikanunue na mim
Niuzie hiyo modem ya tigo 4GHii spidi ya 4G Tigo kwako Itakuwa IPO vizuri mi maeneo niliyopo nilinunua modem ya 4G na laini ya 4g yaani haina tofauti na 3g kabisa na signal mda zipo low mda wote yaani bar 2 nikidownload inarange 700KBps-1.2MBps nikaachana nayo na kuamia Airtel ambayo inarange 900KBps-2.0MBps. Binafsi hii 4G ya Tigo mi naona ni upuuzi tu.
Swali; Sisi tunaotumia simu zisizo na 4G tutumie mtandao upi wenye speed. Maana naona humu mnashindanisha 3G na 4G. Sasa mimi simu yangu haina uwezo wa 4G ni mtandao upi wenye Speed zaidi kwa 3G?
Ahhhh chief aisee hizi siku mbili tatu halotel wameanza kuzingua mbaya sio kama zamani.. Yani nipo nao tu kwa sababu ya whatsapp calling feature tu.. Lakini speed imekuwa slow na ping imekuwa mbayakwa ping- ni halotel wana ping nzuri kuliko mtandao wowote, kama unacheki mpira online, kubrowse, video call au kupiga simu online husaidia sana
kama unaishi nje ya mji- kama eneo lako ni nje ya mji cheki halotel au smart wana coverage nzuri
kama unaishi mjini- cheki mitandao yote speed yake, mfano mimi eneo langu zote 3g na 4g tigo ana speed zaidi, wengine voda ana speed zaidi wengine airtel nk
pia itategemea na matumizi na aina ya kifurushi kama unataka kifurushi kikubwa kwa hela ndogo cheki airtel vocha za chuo
nenda tuu kwa wakala ankuuzia buku tatu tuu kama sio mwanachuoWadau nitaipataje hiyo lini ya halotel ya chuo nami siyo mwanachuo nipo Kahama.
Asante sana kwa kunijulisha utaratibu.nenda tuu kwa wakala ankuuzia buku tatu tuu kama sio mwanachuo
Hakuna mtandao ninaouchukia kama airtel.Hawa jamaa, walishaua mtandao wa Samuel eto'o kule cameroon....MTN wanachechemea pia...Mozambuque hakuna mwenye hamu ya kufanya biashara ya mawasiliano ya simu...East timor na Cambodia wamekiri tayari...
Tigo, Voda, ttcl, kazi wanayo..tena si kazi ndogo. Punde minara yao itanyewa na ndege. Tusubiri tuone.
hahahahaha mkuu mnahamaga dooohWashaniboa sana hawa azam na king'amuz chao nimetupa kabatin sasa nina startimes full shangwe