Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

Kusema ukweli halotel ina speed saana inatembea 2mbps kwa zaidi ya saa 2:15 bula kupungua nashusah movie;game;app jana nimedownload driver pack solution GB 11 na movie ya batman vs superman na nimeamka asubuhi nimekuta seeding. Halotel ni nzuri saana
 
Baada ya kuona mabandiko mengi humu ya kuisifu hii Halotel jana nikaamua kuijaribu nikajiunga na kifurushi cha usiku yaani ni majanga nimeshindwa hataa kuplay video kwenye youtube. Mpaka asubuhi nimeweza kudownload video 2 tu toka dramacool. Yaelekea wengi humu ni wapiga debe. Bora nibakie nlipo
uploadfromtaptalk1459753321350.jpeg

Hapa ndo speed imeshuka
 
4g ya tigo ni majanga maana mara nyingi inasoma E au H ikijitahidi sana inasoma 3g.. Kupata Lte ni mara chache sana. Au usipate kabisa. Mimi nipo temeke Dar.. Tigo hakuna lolote.. Maneno mengi vitendo 0.
 
force Ikae lte only. Maana hapo tatizo ni simu/coverage ya mtandao n.a. sio 4g.
 
speed ni 2.93MBps
time remaining ni dakika 7 na sekunde 53

1. convert dakika kwenda sekunde
tutapata sekunde 473

2. tuzidishe sekunde na speed kwa sekunde
473x2.93 hii itakuwa sawa na mb 1385

so hapo inaonesha
View attachment 334616

Hapa ndo speed imeshuka

hapo wewe umebakiza mb 810 tu lakini speed inaonesha ingedownload kama 1.3gb kwa huo muda.

conclusion umeivizia hio speed ilivyokuwa kubwa ndo ukapiga picha.

speed halisi ya hio screenshot

zimebaki mb 810
zitachukua dakika 7 na sekunde 53

810Mb gawanya 473 sekunde = 1.7Mbps

so speed yako ni hio hapo 1.7 na sio 2.9
 
Hiyo speed inaflactuate mkuu

Hyo 2.9 imetokea tu ndio mana nmesema speed imeshuka napata mpaka 3.5 usiku alaf pia still it worth hata kama ingekua 1MBs still naeweza shusha chochote

Kuvizia basi ningevizia ikifka had nne huko per sec

Alaf pia point hapa ni kuonesha kwamba sio debe tunapigia halotel kama jamaa alivyosema hapo juu na hii ilikua ni ushahidi wa kupinga sentence yake ya debe..

Kama naweza kushusha sniper elite 3 ya gb 15 kwa masaa mawili tu hilo ni debe?
 
hio ya usiku ni watu wengi wamelalamika hawapati speed.

mimi mchana napata 12mbps average (1.5MBps) ila usiku kama kawaida panga linapita speed inacheza around 2.4mbps (300KBps) now nina line kama 6 za halotel zote ni hivyo hivyo.

mwambie huyo jamaa atest mchana halafu alete feedback.

wanaopata speed kubwa usiku ni baadhi tu ya watu.
 
laino sita kaka i adhihirisha jinsi gani unawakubali halotel na kuhitaji hiduma zao sana.

sina imani kama unaweza kukusanya laini za tigo au voda sita sita kwa kila mtandao kisa kupata huduma zao tu

HII YOTE YADHIHIRISHA HALOTEL WAPO VIZURI

NA SIO FAIR KULINGANISHA NA 4G GA MTANDAO MWINGINE. COZ HAPA TWAZUNGUMZIA 3G
 
Itakuwa unatumia mchina wewe, mimi nadowload huku natazama mechi 2 au 3 kwa wakati mmoja kwa liverstream na hakuna kukwama wala nini, tena bila moderm natumia simu kuunga kwa wifi,
Hivi unaungaje mkuu kwa kutumia WiFi ukiwa na simu na unataka kutazama kwenye PC
 
Fungua hotspot kwenye simu yako, washa laptop yako nenda kwenye wifi utaiona aina ya device yako hapo, itaomba password rudi kwenye simu yako fungua hotspot setting click kwenye show password utaziona paswd zako ingiza kwenye laptop and then connect, kitu mwake mwake
 
hio ya usiku ni watu wengi wamelalamika hawapati speed.

mimi mchana napata 12mbps average (1.5MBps) ila usiku kama kawaida panga linapita speed inacheza around 2.4mbps (300KBps) now nina line kama 6 za halotel zote ni hivyo hivyo.

mwambie huyo jamaa atest mchana halafu alete feedback.

wanaopata speed kubwa usiku ni baadhi tu ya watu.
Kwa mchana kifurushi kipi kipo fresh,nina kile cha bila kikomo cha elfu 25 kwa mwezi,nilijidai cku 4 tu,baada hapo ni majanga matupu!
 
4g ya tigo ni majanga maana mara nyingi inasoma E au H ikijitahidi sana inasoma 3g.. Kupata Lte ni mara chache sana. Au usipate kabisa. Mimi nipo temeke Dar.. Tigo hakuna lolote.. Maneno mengi vitendo 0.
Piga *#*#4636#*#* afu weka 4g only
 
Ni mkombozi kwa mikoa ambayo haina 4G
ambayo ndio ming.... ukilinganisha na inayo nufaika na 4G na ambayo feedback bado sio nzuri kutoka kwa wateja hasa upande wa coverage.

sasa kwann tusiseme halotel ni mkombozi japo kwa hiyo 3G yao?
 
Back
Top Bottom