Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

Naskia kuna mtandao mpya mwingine unaitwa kotel sijui ni wachina wao wataanza na 4G sijajua kama hizi rumors ni za kwel ..jamaa washaanza kufunga cable zao
 
Naskia kuna mtandao mpya mwingine unaitwa kotel sijui ni wachina wao wataanza na 4G sijajua kama hizi rumors ni za kwel ..jamaa washaanza kufunga cable zao
sasa hapo patakuwa patamu WANAKARIBISHWA SANAAA KAMA NI KWELI NA WATUKUJA SERIOUS KAMA WENZAO HALOTEL...
 
hahahh ukitaka zikae tumia airtel uone speed yake sasa....
Sitaki kabisa kusikia airtel kama kobe vile mtandao wao bora tigo ukidownload kitu cha mb 200 ni exactly 200 zinatumika ambapo hallotel mzigo wa mb 200 unakata mb 400 fanyiabutafiti hilo utaona.
 
laino sita kaka i adhihirisha jinsi gani unawakubali halotel na kuhitaji hiduma zao sana.

sina imani kama unaweza kukusanya laini za tigo au voda sita sita kwa kila mtandao kisa kupata huduma zao tu

HII YOTE YADHIHIRISHA HALOTEL WAPO VIZURI

NA SIO FAIR KULINGANISHA NA 4G GA MTANDAO MWINGINE. COZ HAPA TWAZUNGUMZIA 3G

nina line nyingi sana na kila line ina maana yake. hata tigo nina line zisizo na idadi za 4g nina line za kawaida pia nyingi. ndani ya kama miezi miwili nimenunua modem nyingi tu kutake advantage ya gb zao 90 wanazotoa ukinunua modem.

kuhusu comparison ya 3g na 4g kuita sio fair naona haina maana why zisilinganishwe wakati gharama ni sawa na vifurushe ni vile vile?

vodacom wana 2g yenye speed kushinda mitandao yote Tanzania, basi tuutangaze voda mtandao bora Tanzania sababu 2g ni network mama na 3g haipo kwenye simu zote.

hakuna mtu alioukataza mtandao wowote usiwe na 4g ni maamuzi yao wenyewe.
 
Kwa mchana kifurushi kipi kipo fresh,nina kile cha bila kikomo cha elfu 25 kwa mwezi,nilijidai cku 4 tu,baada hapo ni majanga matupu!
yap bila kikomo mb zikiisha wanashusha speed hapo umeshaingia cha kike.

unatakiwa ujiunge vifurushi ambavyo sio unlimited kuona speed yake
 
Nielekezeni namna ya kuipata iyo 4G kwa mtandao wa tigo natumia Samsung galaxy s5
 
Naskia kuna mtandao mpya mwingine unaitwa kotel sijui ni wachina wao wataanza na 4G sijajua kama hizi rumors ni za kwel ..jamaa washaanza kufunga cable zao
wanaigombania hii nchi sababu hatuna broadband, ikija kampuni moja tu ya kusambaza internet majumbani kama kenya watakimbia wote hao
 
Ahsante mkuu kwaiyo itanibidi nibadili line na kutumia line yao ya 4G?
 
yah na line 4g pia inakuwa na 3g na 2g
Iyo kidogo kwangu itakua ngumu kubadili line nitapoteza contact's muhimu..au line inabadilishwa lakn namba yako inakua ile ile ya siku zote?..nisamehe kwa maswali mengi
 
Ila ukijiunga kifurushi cha unlimited kikishafika kiwango fulani kama ni 700mb alafu huo hyo speed wanakushusha mpaka kwenye 2g
 
Iyo kidogo kwangu itakua ngumu kubadili line nitapoteza contact's muhimu..au line inabadilishwa lakn namba yako inakua ile ile ya siku zote?..nisamehe kwa maswali mengi

yah line wanabadilisha namba inakuwa ile ile.

ingia kwenye contact halafu nenda setting zake hapo hapo ndani ya contact halafu export contact zako kwenye sd card incase zikipotea contact zako uwe na backup
 
Back
Top Bottom