Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,056
- 46,936
sidhani kama fb app ichukue 15minutes kwa kasi ya halotel kuna tatizo jingineNatumia Samsung S5. Ila tigo 4G ilikua poa sana
sidhani kama fb app ichukue 15minutes kwa kasi ya halotel kuna tatizo jingineNatumia Samsung S5. Ila tigo 4G ilikua poa sana
Labda. Ila ni kweli na mimi imebidi nishangae maana nimehamia huku kwa sifa zakesidhani kama fb app ichukue 15minutes kwa kasi ya halotel kuna tatizo jingine
Hii ni lugha gani mkuu!!?..... looderd.
Sim yako itakuwa made in zingshong village, halotell hadi huku porini kwetu ni 3g+Mbona speed ya kudownload app ipo chini hivi? Yaani nilipokuaga na line ya tigo 4G ilikua poa sana kwenye kudownload na speed ya Internet Ila tatizo lao lilikua ni kupoteza network. Nashangaa hapa na download game lenye mb 81 mpaka ninesahau na imekata
Tatizo sio 3g jaribu kuelewa. Tatizo ni uwezo wa kudownload. Tigo 4G wapo juu japo nimewahamaSim yako itakuwa made in zingshong village, halotell hadi huku porini kwetu ni 3g+
Jamani naombeni msaada cm yangu kama nikimpigia mtu namckia ila yeye anisikiiKama ni mwanachuo fanya utafute line za wanachuo, ila za kawaida ni around 1000.
Badilisha Mic fasta....Jamani naombeni msaada cm yangu kama nikimpigia mtu namckia ila yeye anisikii
Naunga hoja kwa asilimia 100,ngoja nipige mezakama wabunge papaa,papaa.Daaaah huu mtandao walah ni nomaaaa, nashusha movies fasta kama nadownload image.. Hongereni sana Halotel
Mi nlikwenda kwenye ofisi zao wanitengenezee Special number wakaniambia 20,000/=,nikasita nikawaambia siku nyingine,kumbe mtandao wenyewe ndo hivyo kwa hyo ningepata hasara bureBaada ya kuona mabandiko mengi humu ya kuisifu hii Halotel jana nikaamua kuijaribu nikajiunga na kifurushi cha usiku yaani ni majanga nimeshindwa hataa kuplay video kwenye youtube. Mpaka asubuhi nimeweza kudownload video 2 tu toka dramacool. Yaelekea wengi humu ni wapiga debe. Bora nibakie nlipo
Itakuwa unatumia mchina wewe, mimi nadowload huku natazama mechi 2 au 3 kwa wakati mmoja kwa liverstream na hakuna kukwama wala nini, tena bila moderm natumia simu kuunga kwa wifi,Baada ya kuona mabandiko mengi humu ya kuisifu hii Halotel jana nikaamua kuijaribu nikajiunga na kifurushi cha usiku yaani ni majanga nimeshindwa hataa kuplay video kwenye youtube. Mpaka asubuhi nimeweza kudownload video 2 tu toka dramacool. Yaelekea wengi humu ni wapiga debe. Bora nibakie nlipo