Imekosekana noti ya sh 10 hapo
Hahaha!!enzi hizo wengine walikuwa kwenye zipu
cc Th Name
Hehee hizo noti zote nimezitumia. Pia shilingi kumi ya noti niliitumia pamoja na senti 5 senti 10 senti 20 na sumni ambayo ilikuwa senti 50. Shilingi 1 shilingi 5 shilingi 10 shilingi 20........
Nakumbuka kulikuwa na biscuit za muhogo zinauzwa dukani kwa mpemba senti 5 yaani ilikuwa ndo kiburudisho cha watoto mtaani. Una nauli senti 5 mikocheni posta. Zamani daah
Na zilikuwa na thamani kubwaEnzi hizo kwenye hesabu kuna maswali ya;
Kuna shilingi 5 ngapi katika shilingi 20?
Halafu kabla sijaanza shule nilikuwa najua zile picha za kwenye hela ndo zinanunuliwa na hizo hela husika, mfano sumuni itanunua sungura
Mh!!! Asee umeenda age! Senti tano umetumia???Hehee hizo noti zote nimezitumia. Pia shilingi kumi ya noti niliitumia pamoja na senti 5 senti 10 senti 20 na sumni ambayo ilikuwa senti 50. Shilingi 1 shilingi 5 shilingi 10 shilingi 20........
Nakumbuka kulikuwa na biscuit za muhogo zinauzwa dukani kwa mpemba senti 5 yaani ilikuwa ndo kiburudisho cha watoto mtaani. Una nauli senti 5 mikocheni posta. Zamani daah
Mh!!! Asee umeenda age! Senti tano umetumia???